Mvua hizi zina utamu wake jamani!

Hizi mvua ni balaa aisee[emoji7][emoji39], ila ni changamoto kwa ambao tupo single [emoji19][emoji2088][emoji23]
Unamaanisha mvua za magoli ya utamu au hizi hizi za masika la mama...? Hebu fafanua kwanza
 
Kwa kweli hali inahamasisha sana, hata sie damu za zamani bado tunatamani kuwa na kabinti hivi ka kupasha kitanda joto
 
KAma uko single na hizi hali za hewa fanya hivi nunua bangi zako kadhaa ukitoka zako kazini ile night au jion kula zako bangi nunua zako vibites kadhaa kama umeshba au msos mtam uupendao then kula zako bangi then watch movie au music kulingana na vibe lako linakupeleka wapi then lala zako easy
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…