Mvua hizi zina utamu wake jamani!

Kuwa single raha, unagalauka na mito kitandanii,
Raha jipe mwenyewee. [emoji8][emoji8][emoji8]
 
Kweli hizi mvua hizi[emoji23][emoji23].
Mimi nipo kujibu PM za watu ambazo nilizipotezea sijui tangu mwezi wa ngapi sijui[emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Dah raha sana kwa man , kuwa na rafiki wa kike kama mke , msela , mpenzi ,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…