Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wame win kuingia tu madarakaniCcm imeshindwa kila kitu
suala la mafuriko siyo rahisi, sana kulithibiti, hata nchi zilizoendelea linawashindagaMvua imenyesha na hakika ardhi imepokea maji hadi imetota.
Wakazi wa mijini tumeshuhudia adha kubwa inayotokana na ubovu wa miundombinu ya kutiririsha maji.
MTWARA
Nyumba zaidi ya 17 zimezingirwa na maji (kwa mujibu wa taarifa ya habari ITV) na wananchi wanalalamikia ufunyu wa mitaro iliyojengwa kutiririsha maji ya mvua
DAR
Ni mafuriko kila kona.
Wakazi wa Mwananyamala wanalalamikia mwekezaji kufunga njia za maji na kusababisha maji kuelekea makazi yao
Maeneo ya Kisiwani wananchi watalala nje siku kadhaa ili maji yapungue majumbani kwao
Picha inayofuata inaonesha eneo la mjini kati chuo cha biashara CBE likiwa ipo ndani ya maji. Na bado tulivyo na akili za usahaulifu watu watapanga foleni kuipigia kura CCM.
View attachment 2512135
Hali ya kukosa mipango sahihi yenye tija kwa ncbi ni utamaduni uliosimikwa na serikali ya CCM ambapo wanapambana kushikilia dola kwa gharama yeyote ile huku wakifanya mambo ya hovyo kwenye kuisimamia serikali.
Pale eneo la soko la samaki ferry ambapo ni hatua chache kuelekea baharini, mvua ikinyesha hata ya dakika tano inajaza maji ambayo yanakosa muelekeo na kutuama barabarani ambapo ujenzi wa barabara na kituo cha mwendokasi havikuzingatia matoleo ya maji kuelekea baharini. kumbuka hapo ndipo ilipo Ikulu yetu. Aibu hii inatufanya tuonekane kituko duniani.
Mkuu wa Mkoa yupo bize kupambana na wamachinga badala ya kusimamia tija ya miradi ya serikali mkoani kwake.
Bungeni ni drama za kupmbea kura 2025 zinaendelea wskijifanya wana uchungu na nchi huku wakijua wazo kwsmba hatima yao ipo mikononi mwa kamafi za chama na siyo wananchi.
Tufike mahala tuwaache wateuane na watenguane lakini wakija kwetu tuwachuje na kuwakataa kuanzia Rais hadi mwenyekiti wa kitongoji
Ccm ilishachokwa Toka zamani,wao hutegemea kuiba chaguzi tu.Raia hawana tatizo na wao ccm wanajua hivyo ndo maana hawataki kusikia uchaguzi huru na wa haki.NI makada kizazi cha 1970 hadi 1999 ndo wsnaohofia kuwapa kura upinzani wakiaminishwa wataleta vita.
Kitafutika kizazi hiko na CCM itategemea mitutu bila polisi
Wananchi wanavamia na kujenga hovyo na wanaenda kuwaburuza Tanesxo wawawekee umeme na hata. TAMISEMI wanawekewa panga shingoni kuwawekea ofisi za serikali huko.Tatizo ni siasa.
Wananchi wanavamia na kujenga hovyo
Wananchi wanatupa taka hovyo
Vipi jangwani kwa wana 🐸Sema hiyo college ilivyozingirwa na maji imependeza sana,ni kama iipo kisiiwani
Tatizo ni wakazi wa maeneo mengi kutupa taka,kwenye mitaro na njia za maji,wakati gari za taka zinapita na kukusanya taka.Mvua imenyesha na hakika ardhi imepokea maji hadi imetota.
Wakazi wa mijini tumeshuhudia adha kubwa inayotokana na ubovu wa miundombinu ya kutiririsha maji.
MTWARA
Nyumba zaidi ya 17 zimezingirwa na maji (kwa mujibu wa taarifa ya habari ITV) na wananchi wanalalamikia ufunyu wa mitaro iliyojengwa kutiririsha maji ya mvua
DAR
Ni mafuriko kila kona.
Wakazi wa Mwananyamala wanalalamikia mwekezaji kufunga njia za maji na kusababisha maji kuelekea makazi yao
Maeneo ya Kisiwani wananchi watalala nje siku kadhaa ili maji yapungue majumbani kwao
Picha inayofuata inaonesha eneo la mjini kati chuo cha biashara CBE likiwa ipo ndani ya maji. Na bado tulivyo na akili za usahaulifu watu watapanga foleni kuipigia kura CCM.
View attachment 2512135
Hali ya kukosa mipango sahihi yenye tija kwa ncbi ni utamaduni uliosimikwa na serikali ya CCM ambapo wanapambana kushikilia dola kwa gharama yeyote ile huku wakifanya mambo ya hovyo kwenye kuisimamia serikali.
Pale eneo la soko la samaki ferry ambapo ni hatua chache kuelekea baharini, mvua ikinyesha hata ya dakika tano inajaza maji ambayo yanakosa muelekeo na kutuama barabarani ambapo ujenzi wa barabara na kituo cha mwendokasi havikuzingatia matoleo ya maji kuelekea baharini. kumbuka hapo ndipo ilipo Ikulu yetu. Aibu hii inatufanya tuonekane kituko duniani.
Mkuu wa Mkoa yupo bize kupambana na wamachinga badala ya kusimamia tija ya miradi ya serikali mkoani kwake.
Bungeni ni drama za kupmbea kura 2025 zinaendelea wskijifanya wana uchungu na nchi huku wakijua wazo kwsmba hatima yao ipo mikononi mwa kamafi za chama na siyo wananchi.
Tufike mahala tuwaache wateuane na watenguane lakini wakija kwetu tuwachuje na kuwakataa kuanzia Rais hadi mwenyekiti wa kitongoji
Tatizo wakazi wa maeneo hayo,kutupa taka kwenye mitaro,mitaro inaziba.Wakati magari za kuzoa taka,yanapita,na kukuchukua taka.Hapo lazima serikali iwajibike watake wasitake.
Tatizo huwezi kusikia kelele bungeni wakiwabana wahusika.
Kama mnakatwa kodi na miundombinu lazima iwe mizuri.
Drainage systems mbovu kila mahali.
Ni aibu kwa Taifa linalotoa PhD za heshima kama njugu halafu wanashindwa kujua tatizo liko wapi? Ni AIBU
Sheria za usafi wa miji anasimamia nani?Tatizo ni wakazi wa maeneo mengi kutupa taka,kwenye mitaro na njia za maji,wakati gari za taka zinapita na kukusanya taka.
endelea kulalamaTofautisha mvua na tufani au elnino
Hapa Tanzania mvua ya saa mawili tu inatosha kuinua kikosu cha FFU kuidhibiti kwa maafa inayoyaleta
Wakazi wa maeneo husika wanatakiwa,wawajibike kuweka maeneo yao yawe masafi,wanaozingirwa na maji ni wakazi wa maeneo hayo.Sheria za usafi wa miji anasimamia nani?
Hivi ile michanga na vifusi vinavyojikusanya kwenye barabara za lami ni tatizo la wakazi?
Mitaro inaziba kwa sababu nyingi sana lakini hata kama.isipoziba bado ufinyu wa moundombinu hiyo umesababishwa na mamlaka.
Mitaro ni midogo hawakuipanga kupokea maji ya mvua
Huna jipyaWakazi wa maeneo husika wanatakiwa,wawajibike kuweka maeneo yao yawe masafi,wanaozingirwa na maji ni wakazi wa maeneo hayo.
Wameanza mradi wa kufuga samaki.Vipi jangwani kwa wana 🐸