Mvua imetuvua nguo kama Taifa. Aibu hii

Hapo lazima serikali iwajibike watake wasitake.

Tatizo huwezi kusikia kelele bungeni wakiwabana wahusika.

Kama mnakatwa kodi na miundombinu lazima iwe mizuri.

Drainage systems mbovu kila mahali.

Ni aibu kwa Taifa linalotoa PhD za heshima kama njugu halafu wanashindwa kujua tatizo liko wapi? Ni AIBU
 
Ifike mahali tuwe tunawalenga mawe kipindi cha kampen watajuaje kama wananchi tuna hasira nao mtu anapotea jimbon kwake anarud kipind cha kampen nabado tunampokea tuwalengen mawe wakiwa majukwaan heshima itakuwepo na hata kuongea upuuzi bungen watakua waoga
 
suala la mafuriko siyo rahisi, sana kulithibiti, hata nchi zilizoendelea linawashindaga
 
NI makada kizazi cha 1970 hadi 1999 ndo wsnaohofia kuwapa kura upinzani wakiaminishwa wataleta vita.

Kitafutika kizazi hiko na CCM itategemea mitutu bila polisi
Ccm ilishachokwa Toka zamani,wao hutegemea kuiba chaguzi tu.Raia hawana tatizo na wao ccm wanajua hivyo ndo maana hawataki kusikia uchaguzi huru na wa haki.
 
Tatizo ni siasa.

Wananchi wanavamia na kujenga hovyo

Wananchi wanatupa taka hovyo
 
suala la mafuriko siyo rahisi, sana kulithibiti, hata nchi zilizoendelea linawashindaga
Tofautisha mvua na tufani au elnino

Hapa Tanzania mvua ya saa mawili tu inatosha kuinua kikosu cha FFU kuidhibiti kwa maafa inayoyaleta
 
Tatizo ni siasa.

Wananchi wanavamia na kujenga hovyo

Wananchi wanatupa taka hovyo
Wananchi wanavamia na kujenga hovyo na wanaenda kuwaburuza Tanesxo wawawekee umeme na hata. TAMISEMI wanawekewa panga shingoni kuwawekea ofisi za serikali huko.

Ndugu
Uholela wote ni mazao ya CCM kushindwa chaguzi na badala yake wanang'ang'ania madarakani huku wakiwa hawana agenda za nchi
 
Tatizo ni wakazi wa maeneo mengi kutupa taka,kwenye mitaro na njia za maji,wakati gari za taka zinapita na kukusanya taka.
 
Tatizo wakazi wa maeneo hayo,kutupa taka kwenye mitaro,mitaro inaziba.Wakati magari za kuzoa taka,yanapita,na kukuchukua taka.
 
Tatizo ni wakazi wa maeneo mengi kutupa taka,kwenye mitaro na njia za maji,wakati gari za taka zinapita na kukusanya taka.
Sheria za usafi wa miji anasimamia nani?

Hivi ile michanga na vifusi vinavyojikusanya kwenye barabara za lami ni tatizo la wakazi?

Mitaro inaziba kwa sababu nyingi sana lakini hata kama.isipoziba bado ufinyu wa moundombinu hiyo umesababishwa na mamlaka.

Mitaro ni midogo hawakuipanga kupokea maji ya mvua
 
Wakazi wa maeneo husika wanatakiwa,wawajibike kuweka maeneo yao yawe masafi,wanaozingirwa na maji ni wakazi wa maeneo hayo.
 
Wakazi wa maeneo husika wanatakiwa,wawajibike kuweka maeneo yao yawe masafi,wanaozingirwa na maji ni wakazi wa maeneo hayo.
Huna jipya
Unatafuta kichaka cha kujificha.

Haya pale CBE una nini la kuwaambia maana kwa serikali ya CCM adui namba moja ni mwananchi kama unavyothibitisha kwenye hoja zako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…