Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pole pole ngosha[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mwanza gwanyoko.jua kali acha uongo
Nashangaa mbeya sijui imekuwaje safari hiiPole sana mkuu huko msubiri ile waziri aliyowaahidi
Ukanda huo Huwa nakumbukaga Yale mabarafu yalodondokaga mwaka fulanii yakaharibu mazao, nyumbaaa n vifooWasukuma wameshafanya yao! Ama ndio zile mvua za kikanda?
Umenikumbusha ndugu zangu wa kisesaMwanza mvua inanyesha mjini tuu, kisesa ni ngurumo tuu ya radi
Kila siku namuuliza Mungu lini mbeya mvua itanyesha nianze kujipa likizoNashangaa mbeya sijui imekuwaje safari hii
Likizo ipi mkuuKila siku namuuliza Mungu lini mbeya mvua itanyesha nianze kujipa likizo
Mvua ikinyesha hasa huku vijijini wanaohitaji huduma yangu ni wachache na barabara haipitishiki hivyo nakuwa na sababu ya kutoonekana kazini huku wakipiga simu mara nimekwama mara mvua ni kali hivyo ni mwendo wa kujisuperbanco tu [emoji16]Likizo ipi mkuu
Mnaongelea mjini gani[emoji1787][emoji1787][emoji1787].Mbna juaMwanza mvua inanyesha mjini tuu, kisesa ni ngurumo tuu ya radi
Wanataka kukinga maji ya mvua hao, hujamshtukia tu..Mbona mnakuwa wabinafsi hivyo?Kila kitu mnataka kiwe Dar?Hata mvua hamtaki iwanyeshee wasugunsu?😂😂😂😂
Nadhani medulla yako imepata changamoto kubwaKukumbukwa Shujaa
Kwani Mwanza hakuna binadamu na mimea inayohitaji mvua?Yaan mvua inaacha kunyesha Dar inaenda kunyesha Mwanza ? [emoji51]
Hautamsahau!Nadhani medulla yako imepata changamoto kubwa
Wiki mbili hawajaoga?😂😂😂Wanataka kukinga maji ya mvua hao, hujamshtukia tu..
Tangu lini watu wa dar wakapenda mvua😅
Sensa inasema Dar kuna idadi gani ya watu?Kwani Mwanza hakuna binadamu na mimea inayohitaji mvua?