dr namugari
JF-Expert Member
- Nov 19, 2022
- 10,466
- 18,206
Hyo mvua inapigia kutokea huku ddm Kisha Moro imepiga kubwa Sana na huko dar usku wa leo itakuwa kubwa maradufu hayo Ni kutoka mamlaka za utabiri wa Hali ya hewaMbezi malamba hii mvua sio ya kitoto hata kutoka nje haiwezekani. Ni kubwa mno
Sent using Jamii Forums mobile app
DuhhBreaking news Happ mvua inayopiga Moro imekata mawasiliano Kati ya Moro na ddm
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Picha?Huku Mbezi ya Magufuli mvua inanyesha balaa vipi huko kwenu
Maeneo ganiBreaking news Happ mvua inayopiga Moro imekata mawasiliano Kati ya Moro na ddm
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Tamu kwa kulumangia sio? Au kavu kavu yenyewe? 😁Hii hali ya hewa taaaaaaaaamu sana dahh
hapa chato inanyesha ya maweHuku Mbezi ya Magufuli mvua inanyesha balaa vipi huko kwenu
Makabe ndo home,kama dk 22 zilizopita niliongea na mtu yupo kule akasema mvua imekata though nipo town huku maji bado yanashuka.Vizuri umetoa updates ili tunaoelekea mbezi tujue. Was planning to go to makabe ila nakoelekea mvua ikinyesha utelez mwingi nimeahirisha. .
Tupia picha tuone hiyo mvua, niko manzese inanyesha pia.
Bora zinyeshe tu vyanzo vya maji ya kutumia majumbani na kuzalisha vitu kama umeme nk vijae maji.
Morogoro, Kigoma Huko Kote Mvua Tele Muda Huu
Niko Bunju huku. Sioni dalili ya mapokezi mbona
Yah pambaneni wakuu viote mvune mje kutuuzia.tunamshukuru Mungu, huku kwetu ipalamwa wingu zito limetanda giza kama saa mbili usiku!!!
kazi ya kilimo inaendeleea