Mvua kubwa Mbezi Luis

Mvua kubwa Mbezi Luis

Vizuri umetoa updates ili tunaoelekea mbezi tujue. Was planning to go to makabe ila nakoelekea mvua ikinyesha utelez mwingi nimeahirisha. .

Tupia picha tuone hiyo mvua, niko manzese inanyesha pia.
Makabe ndo home,kama dk 22 zilizopita niliongea na mtu yupo kule akasema mvua imekata though nipo town huku maji bado yanashuka.

Unaweza kuangalia utaratibu namna ya kuelekea pia barabara nzuri kwa sasa ya kupita pita hii ya madukani imechongwa majuzi tu hapa na bado jamaa walikuwa kazini kuiboresha.
 
tunamshukuru Mungu, huku kwetu ipalamwa wingu zito limetanda giza kama saa mbili usiku!!!
kazi ya kilimo inaendeleea
Yah pambaneni wakuu viote mvune mje kutuuzia.

Hope kila mahali penye shughuli za kilimo ikinyesha mavuno yakapatikana kidogo bei ya vyakula itapungua ukali maana hali ni mbaya sana.
 
Back
Top Bottom