Mvua kubwa Mbezi Luis

Mwanza mjini kuna wingu limetanda,, muda wowote mvua itashuka
 
Hiyo ni baraka, kupunguza joto, ni kujihadhari tu na mafuriko. Acha nguvu za asili zifanye kazi. Vipi wale wenye uwezo wa kucheza na hizi nguvu wanasemaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ