Tabutupu
JF-Expert Member
- Nov 26, 2010
- 13,206
- 18,549
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa mujibu wa TMA leo ndo tarehe 12.TMA walitoa taarifa kuwepo kwa mvua tarehe 12 / 01 kwa mikoa isiyo ya pwani....
Hawa jamaa bhana huwa hata siwaelewagi!Jioni lazima TMA watatoa taadhali kwa wanaoishi mabodeni na watawataka wahame mara moja
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa mujibu wa TMA leo ndo tarehe 12.
Tahadhari hutolewa kabla ya Mvua kunyesha.Jioni lazima TMA watatoa taadhali kwa wanaoishi mabodeni na watawataka wahame mara moja
Sent using Jamii Forums mobile app
Niko Misugusugu nafanya Temeke. Usafiri sio changamoto kabisa. Kwa taarifa tu magari ya Mbezi Mlandizi huwa hayakatiki hata 9 ya usiku yapoMkuu unaishi Mlandizi unafanya kazi town au umetoka safari ?
Kama unaishi Mlandizi nakufanya shughuli zako mjini daily sipati picha gharama za usafiri
Mvua IPO kubwa tu natokea tegeta kuja mjini muda huu nipo bamaga bado IPO.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tanzania tunaanza kuchamba kabla ya kudondosha haja kubwa. Huu ni utaratibu tuliojiwekea wenyewe.Tahadhari hutolewa kabla ya Mvua kunyesha.
Sisi wa mikoani tumeshazoea mvua kubwa so hili sio jipya kwetu [emoji1787][emoji1787]
embu ngoja na mimi nikachungulie kinachojiri kwenye ofisi ya CCM hapo ng'ambo ya mtaani kwangu....nitaleta mrejesho fasta!Mtaani kwangu mvua ni kubwa na nyingi isipokuwa kwenye ofisi ya CCM hamna hata tone moja linalodondoka