Mvua kubwa na radi jijini Dar es Salaam na Pwani yote. Mtaani kwako kwema?

Mvua kubwa na radi jijini Dar es Salaam na Pwani yote. Mtaani kwako kwema?

Niko Misugusugu nafanya Temeke. Usafiri sio changamoto kabisa. Kwa taarifa tu magari ya Mbezi Mlandizi huwa hayakatiki hata 9 ya usiku yapo
achana nae huyo mie niko mlandizi mkuu kazi karikoo tena tuko wengi huku usafiri upo mwingi tu,maisha kujipanga
 
Na mkuu wa mkoa na meya wapo tu wanagombea ofisi na funguo kama siyo kusema na kutekeleza maupuuzi yao...
Ujinga na upumbavu mtupu...
 
Haikuwa siku njema kwa watu kadhaa walio karibu na mto Kawe. Mvua zimeendelea kuleta madhara huku zikiwahaamisha watu kadhaa bila kupenda


Waliopembezon mwa mto Kawe kuanzia Kwa Mama Kessy kuja huku Rainbow nilishuhudia nyumba tatu zikidondoka na kuelekea baharini.

Cha ajabu na kushangaza kijana mmoja alieachiwa nyumba na baba yake mbali kidogo na eneo la mto Kawe ameuza nyumba hio laki nane jana jion na kuomba leo anatoa vyombo vyake vyote.


Hakika inaumiza sana sana mvua zinazoendelea natumaini malaika alieshikilia koki atapunguza speed jaman hope ameona wale watu wanavyookoa mabati yao na vitu vyao

Moja ya nyumba ilishuka na vitu vyote kama ilivyo na hii ni pale mama aluposhauriwa aende akatafute vijana wakuja kutoa vitu

Aliporudi kilisikika kilioo cha yelewuiiiiiii sio kafa mtu ni kwamba eneo lililokuwa nyumba yake limebakia.mchanga tu kwa chini....

Poleni wote waathirika mola yu pamoja nanyi mwisho wa siku mkaione pepo
 
nitaludi kupitia post za watakaochangia mada labda wao watanipa mwanga wa ulichoandika!!!
nimeshindwa kukuelewa........
 
Zamani Kuna watu walikuwa wanachimba mchanga hapo Wanauza, jiji sjui serikali ikawaletea jealous, wakafukuzwa bora wangendelea kuwepo hpo natumai mchanga usingejaa na kuziba mkondo maji yangekuwa yanapita vzr

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom