Mvua kubwa na radi jijini Dar es Salaam na Pwani yote. Mtaani kwako kwema?

Mvua kubwa na radi jijini Dar es Salaam na Pwani yote. Mtaani kwako kwema?

Shida kwamba kusoma ni jambo moja,kuelewa ni jambo jingine.
Tuwavumilie tu
Msome Mtoa Mada vizuri ametoka kibaha , mbezi. Kimara ubungo hadi city center na mvua ilikuwa kubwa na kali, ndio akaanzisha uzi, na bado amekuua muungwana wa kuulizia Hali ya hapo ulipo ipoje sidhan kama amegeneralize, na sijaona Kosa la Mtoa mada

Sent using Jamii Forums mobile app
 
USSR,
Wee Acha tuuuuu! Nawaza jinsi ya kutoka Vitz yangu na hili tope nashindwa kuelezea. Watoto nimewaambia wasiende Shule mvua ni nyingi barabara hazipitiki.
Umaskini wa akili huzaa maskini.
Watoto wanaacha kwenda shule, wanakosa haki yao ya msingi sababu ya mawazo ya kimaskini ya viongozi wanaoongoza taifa tajiri.
 
Kweli mvua imepiga na radi za hapa na pale lakini maeneo yaliyoathirika ni yale yale ya siku zote kila mvua inaponyesha katika jiji la dsm. lakini kimsingi miradi mingi ya miundombinu inaendelea jijini dsm tunaamin miradi hii itakapofikia mwisho na tatizo la mafuriko litapungua kiasi chake.
Mungu ibariki Afrika Mungu ibariki Tanzania
 
Back
Top Bottom