Mvua kubwa na radi jijini Dar es Salaam na Pwani yote. Mtaani kwako kwema?

TMA walitoa taarifa kuwepo kwa mvua tarehe 12 / 01 kwa mikoa isiyo ya pwani....
 
Tupeni mrejesho, hali ipoje huko mikoa ya nyumbani..Pwani-Kibiti, Rufiji mbaka Lindi Kilwa.

5/5
 
Huku Chalinze mvua kubwa ilinyesha kuanzia saa kumi kasoro usiku.
Mpaka sasa inanyesha ingawa imepungua ukali.
Radi pia zimetulia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…