mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,441
- 431,885
Mimi bado nipo 2017 sijaona kilichobadilika watu wale wale mishe zile zile kukaza kwa vyuma kuko vile vileJinga,yani mawazo ya 2017 ndio unayoanza nayo 2018?kweli kazi ipo.
Ningedhani ungeshauri ni kwa namna gani mvua hizo zitumike vyema katika suala zima la kilimo .... but ....Wadau zaidi ya masaa mawili hapa Dom town mvua inanyesha kubwa hatari baridi la kufa mtu yaani hali ya ni murua kabisa kwa mambo ya kwichi kwichi yaani hapa naona Leo mtu na mtu mpka atoke mtu
Aisee...naona yule mr smart wa dodoma leo ataenjoy.
Next week inyeshe pia nitakuwa huko
Alisema demiss halipi
We're the AUTHORS of OUR OWN DESTINY .... you're the ONLY ONE to CREATE YOUR FUTURE .... don't wait for others to create your destiny ....Mimi bado nipo 2017 sijaona kilichobadilika watu wale wale mishe zile zile kukaza kwa vyuma kuko vile vile
Wewe hupendi/umeacha!Wadau zaidi ya masaa mawili hapa Dom town mvua inanyesha kubwa hatari baridi la kufa mtu yaani hali ya ni murua kabisa kwa mambo ya kwichi kwichi yaani hapa naona Leo mtu na mtu mpka atoke mtu
Karibu sana mkuu ndio season yake ni mwendo wa mvua tuAisee...naona yule mr smart wa dodoma leo ataenjoy.
Next week inyeshe pia nitakuwa huko
Hahahahaha pole sana hila kweli vyuma vimekaza si mchezo Dom pande zipi mkuuheri yako mzee wa liverpool, mm pia nipo Dom vyuma vimekaza asubuhi hii sijui msosi wapi? haisimami kabisa hata umiwekee kwichikwichi chumba kimoja
Nendeni duniani mkaijaze Dunia wewe unapingana na maandiko amaNingedhani ungeshauri ni kwa namna gani mvua hizo zitumike vyema katika suala zima la kilimo .... but ....
Mkuu Heri ya mwaka mpya