Mvua kubwa sana Dodoma kwa wapenda kwichi kwichi hali ya hewa inaruhusu

Mvua kubwa sana Dodoma kwa wapenda kwichi kwichi hali ya hewa inaruhusu

Wadau zaidi ya masaa mawili hapa Dom town mvua inanyesha kubwa hatari baridi la kufa mtu yaani hali ya ni murua kabisa kwa mambo ya kwichi kwichi yaani hapa naona Leo mtu na mtu mpka atoke mtu
Ningedhani ungeshauri ni kwa namna gani mvua hizo zitumike vyema katika suala zima la kilimo .... but ....
 
Mimi bado nipo 2017 sijaona kilichobadilika watu wale wale mishe zile zile kukaza kwa vyuma kuko vile vile
We're the AUTHORS of OUR OWN DESTINY .... you're the ONLY ONE to CREATE YOUR FUTURE .... don't wait for others to create your destiny ....

Watu waweza kuwa walewale lakini wewe ukawa na MALENGO yako na MIKAKATI ni namna gani utayafikia malengo yako
 
Wadau zaidi ya masaa mawili hapa Dom town mvua inanyesha kubwa hatari baridi la kufa mtu yaani hali ya ni murua kabisa kwa mambo ya kwichi kwichi yaani hapa naona Leo mtu na mtu mpka atoke mtu
Wewe hupendi/umeacha!
 
heri yako mzee wa liverpool, mm pia nipo Dom vyuma vimekaza asubuhi hii sijui msosi wapi? haisimami kabisa hata umiwekee kwichikwichi chumba kimoja
Hahahahaha pole sana hila kweli vyuma vimekaza si mchezo Dom pande zipi mkuu
 
Back
Top Bottom