mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,441
- 431,885
- Thread starter
-
- #21
Amina Mkuu tupo pamojaWe're the AUTHORS of OUR OWN DESTINY .... you're the ONLY ONE to CREATE YOUR FUTURE .... don't wait for others to create your destiny ....
Watu waweza kuwa walewale lakini wewe ukawa na MALENGO yako na MIKAKATI ni namna gani utayafikia malengo yako
Kwa hiyo mambo ya kwichi kwichi ya kipuuzi wewe si bure wacha niishie hapoHahaa ama kwel kiama kinakaribia. Kumbe siku izi tunaomba mvua inyeeshe kisaa huu upuuz. Ww utakuwa 2017 bado mwaka mpya wako lini
Tatizo la Dodoma Tangu mwezi Wa NNE mwaka Jana Leo mvua ndio imenyesha tena kwa masaa mengi sana lazima furusa zote zitumikeArusha nayo imeanza kunyesha... ila sisi hatuna hizo tabia za dodoma
Ahah kumbe,basi sasa sawa,ngoja na mm nichangie sasa maana umejipambanua vzr mpaka moyo wangu umetakataMimi bado nipo 2017 sijaona kilichobadilika watu wale wale mishe zile zile kukaza kwa vyuma kuko vile vile
The same to you[emoji12] [emoji12] [emoji12]Kumbafu wewe
Pamoja mkuu karibu sanaAhah kumbe,basi sasa sawa,ngoja na mm nichangie sasa maana umejipambanua vzr mpaka moyo wangu umetakata
[emoji15] [emoji15] [emoji15]The same to you[emoji12] [emoji12] [emoji12]
Kwahiyo tayari usha "tomb..."?Pamoja mkuu karibu sana
Kula like wape maneno agiza kill naja lipa [emoji23]Vyasaka akili zenu ni za kimasikini sana!
Tufanye bei ya gari ni milion 8 au 10.
Hapo mtu anamudu maisha mjini na familia.
Ameweka mafuta anaenda kwao Moshi kufanya sherehe.
Bado anarudi mjini kuendelea na biashara yake.
Huyu bado ni masikini?
Kati ya aliye na gari na mwenye baiskeli, ni yupi tajiri; mathalani, gari inapata service na ipo katika hali nzuri?
Huyu ni masikini?
Sisi ni wachapa kazi; si bure, na kwa mila zetu, mtu asiyetafuta pesa ni kishoia na atadharaulika, na hakuna Mchagga anayependa hilo limtokee iwe wa kiume au wa kike kazi ni kazi kwenda mbele.
Vyasaka mlie tuu, uchumi wa nchi upo mikononi mwetu.
Kama upo Dar jiulize ni kwa nini foleni haipo kwa wakati huu, na imehamia Arusha na Moshi?
Jiulize kwanini biashara Dar imedoda wakati huu?
Jibu ni kwamba Wachagga tupo kwetu.
Wadau zaidi ya masaa mawili hapa Dom town mvua inanyesha kubwa hatari baridi la kufa mtu yaani hali ya ni murua kabisa kwa mambo ya kwichi kwichi yaani hapa naona Leo mtu na mtu mpka atoke mtu
Unahc kufny ivo had mvua inyeshe ndo uonekane kdume.Kwa hiyo mambo ya kwichi kwichi ya kipuuzi wewe si bure wacha niishie hapo
Ukishaijaza hiyo dunia kisha hao watoto wasiwe na MBELE wala NYUMA itakuwa ni BUSARA ama MATOPE ....Nendeni duniani mkaijaze Dunia wewe unapingana na maandiko ama
Yaani nilipiga shoo kwanza niko break ndio nachart sasa lakini kabaridi kanazidi wacha Nipige round nyingine yaani hali ya hewa ni bomba sanaKwahiyo tayari usha "tomb..."?
Wacha maneno weka picha tuone wewe ebo!!Yaani nilipiga shoo kwanza niko break ndio nachart sasa lakini kabaridi kanazidi wacha Nipige round nyingine yaani hali ya hewa ni bomba sana
Weka MALENGO na jitahidi kwa kadri uwezavyo kuyatimiza .... wish you all the bestAmina Mkuu tupo pamoja
Mkuu nimezungumzia hali ya hewa Leo kwetu hapa ni nzuri sana kwa mambo hayo sasa cha ajabu niniUnahc kufny ivo had mvua inyeshe ndo uonekane kdume.
Tumia siku yako vzur.akuna shidaMkuu nimezungumzia hali ya hewa Leo kwetu hapa ni nzuri sana kwa mambo hayo sasa cha ajabu nini
Mkuu nipo pamoja Na weweUkishaijaza hiyo dunia kisha hao watoto wasiwe na MBELE wala NYUMA itakuwa ni BUSARA ama MATOPE ....
Kamwe sitaweza kupingana na MAANDIKO kama ulivyo quote but nakupa pia MAANDIKO kama angalizo ... biblia yasema, "ALAANIWE ASIYE WATUNZA WATU WA NYUMBANI KWAKE ..." na mahali pengine mtu kama huyo anakuwa referred kama MTU MBAYA KULIKO ASIYEAMINI .....
Mwenye Enzi Mkuu akubariki na utumie Siku yako vizuri Mimi nimetulia tu hapa ndani nachart kwichi kwichi kwa sana hakuna hata majashoTumia siku yako vzur.akuna shida
Hahaa upo maeneo ganiMwenye Enzi Mkuu akubariki na utumie Siku yako vizuri Mimi nimetulia tu hapa ndani nachart kwichi kwichi kwa sana hakuna hata majasho