Papillon 1906
JF-Expert Member
- Jun 19, 2025
- 228
- 753
Asante mkuu. Hapa kwangu mvua ilinyesha lakini sikuathirika nipo mzima ila kuna sehemu karibu yangu pamefurika.
Ingekuwa Malawi tungetafutana
Mjinga na mpuuzi wewe unaunga ccm mkono wenzako tumekaa hapo new York enzi za kina jakaya na ombeni sefue wewe uko miaka hii unaleta shobo za kuiunga mkono ccm mpuuzi kabisa wewe nilikuheshimu zamani sio sasa nincompoop.Asante mkuu. Hapa kwangu mvua ilinyesha lakini sikuathirika nipo mzima ila kuna sehemu karibu yangu pamefurika.
Shukurani kwa kunijulia hali.
Wewe Kafiri acha kelele,huko sio kwenu, kwenu ni huko Nzega ndani ndani umejichokea kinoma.Kobaz & Co; watakuambia makafir wanakiona cha moto hao kwa matendo yao! Ni majira tu jamani hayo! Teh!
DuMjinga na mpuuzi wewe unaunga ccm mkono wenzako tumekaa hapo new York enzi za kina jakaya na ombeni sefue wewe uko miaka hii unaleta shobo za kuiunga mkono ccm mpuuzi kabisa wewe nilikuheshimu zamani sio sasa nincompoop.
Walokole ingekuwa Iran napo mngedai Mossad kazini!!!!!!!!!Kobaz & Co; watakuambia makafir wanakiona cha moto hao kwa matendo yao! Ni majira tu jamani hayo! Teh!
Mimi nilikiwa naombea mvua inyeshe, it was a bit too hot and too dry.Kiranga kuna haja ya kununua mtumbwi au uta tumia hata karai?
Watanzania kwa kupenda Sifa na Kuongopa hatujambo.Mimi nilikiwa naombea mvua inyeshe, it was a bit too hot and too dry.
But there was a torrential deluge of epical proportions some parts not too far from me.
Hizi mvua za huku siju hizi hazina adabu. Kuna siku last month nilikiwa nasukuma mashine on 1-95 natoka DC kurudi NYC ndani ya dakika hata tano hazijafika ikawa barabara kama inajaa maji hivi.
Ikabido nipige mwendp aste aste kuepuka hydroplaning.
Kama uzima upo na hakuna huge damages kwako, Keep being cautious!.Mimi nilikiwa naombea mvua inyeshe, it was a bit too hot and too dry.
But there was a torrential deluge of epical proportions some parts not too far from me.
Hizi mvua za huku siju hizi hazina adabu. Kuna siku last month nilikiwa nasukuma mashine on 1-95 natoka DC kurudi NYC ndani ya dakika hata tano hazijafika ikawa barabara kama inajaa maji hivi.
Ikabido nipige mwendp aste aste kuepuka hydroplaning.
Charismatic fella Umesha anza vurugu asubui hiiWatanzania kwa kupenda Sifa na Kuongopa hatujambo.
Na Wewe upo Marekani ya Tandale Mkuu?Charismatic fella Umesha anza vurugu asubui hii
Hapana mimi niko nanjilinji, ila Kiranga is indeed in New York bhana.Na Wewe upo Marekani ya Tandale Mkuu?
Mimi pangu pakavu kabisa, my lawn is getting a bit greener after a thirst rough patch.Kama uzima upo na hakuna huge damages kwako, Keep being cautious!.
Wacha pawe green, ili madogo waje kuruka ruka hapo.Mimi pangu pakavu kabisa, my lawn is getting a bit greener after a thirst rough patch.