Mvua kubwa yasababisha maafuriko New York na New Jersey nchini Marekani

Mvua kubwa yasababisha maafuriko New York na New Jersey nchini Marekani

Due to Trump's tariffs, there isn't even a "Made in China" warning sign.

Fvck Around and Find Out.
yaani kiufupi uki kosea kidogo, ume yatimba!.

ndio maana huwa natembea pembezoni kabisa mwa mali za watu, sitaki kuwa mfano kwenye jamii kudadadeki.
 
Sio kobaz nanukuu majanga kama hayo yanapowapata maadui wa US au Israel hiyo kauli ndio inasikika sana
 
Asante mkuu. Hapa kwangu mvua ilinyesha lakini sikuathirika nipo mzima ila kuna sehemu karibu yangu pamefurika.

Shukurani kwa kunijulia hali.
Huko kwenu pazuri sana; Mvua ya mafuriko ila naona Umeme bado inawaka. Huku kwetu manyunyu tu kidogo tayari shirika la kukata umeme wanawai kuzima.
Hatari sana.
 
Back
Top Bottom