Due to Trump's tariffs, there isn't even a "Made in China" warning sign.Wacha pawe green, ili madogo waje kuruka ruka hapo.
au ndio ume weka bango hili😁🦅
View attachment 3407545
yaani kiufupi uki kosea kidogo, ume yatimba!.Due to Trump's tariffs, there isn't even a "Made in China" warning sign.
Fvck Around and Find Out.
Wewe ni kobaz?Walokole ingekuwa Iran napo mngedai Mossad kazini!!!!!!!!!
inafurahisha sana...
inafurahisha sana...
Mkuu shido nini🤔Mjinga na mpuuzi wewe unaunga ccm mkono wenzako tumekaa hapo new York enzi za kina jakaya na ombeni sefue wewe uko miaka hii unaleta shobo za kuiunga mkono ccm mpuuzi kabisa wewe nilikuheshimu zamani sio sasa nincompoop.
Huko kwenu pazuri sana; Mvua ya mafuriko ila naona Umeme bado inawaka. Huku kwetu manyunyu tu kidogo tayari shirika la kukata umeme wanawai kuzima.Asante mkuu. Hapa kwangu mvua ilinyesha lakini sikuathirika nipo mzima ila kuna sehemu karibu yangu pamefurika.
Shukurani kwa kunijulia hali.