MVUA LAZIMA INYESHE

MVUA LAZIMA INYESHE

P J O

Senior Member
Joined
May 3, 2024
Posts
189
Reaction score
264
Ukitaka kuamini uchawi upo, karibu Kila mechi ya Simba na Yanga inapochezwa lazima mvua Inyeshe hapa Dar Es Salaam.

Jumamosi, mtaniambia 😄
 
Ukiangalia mtandaoni, kwenye app za halo ya hewa,kuna mvua tarehe 7,tena ya maana pwani
 
Ukitaka kuamini uchawi upo, karibu Kila mechi ya Simba na Yanga inapochezwa lazima mvua Inyeshe hapa Dar Es Salaam.

Jumamosi, mtaniambia 😄
NILISEMAJE????

LAZIMA inyeshe
 
Back
Top Bottom