Hakuna Mvua ndio furaha kwa Mwarabu ingekua jua la saa 10 ningekubari ila mvua sahauMvua inanyesha dar Simba wanafurahia
Watakula walipopeleka mbogaSiku Simba waliyopigwa 5 kwa 1 na Yanga ilinyesha mvua. Sasa sijui mnasemaje kuhusu hilo
Dooh!Mvua inanyesha dar Simba wanafurahia KAMA VYURA VILE
Kipigo kipo pale pale lazima watasemaKwamba huko kwao hawachezi mvua ikinyesha?