Mvua ndio uchawi wa simba, mwarabu atakuwa anateleza tu na kulala. Ili Simba avuke lazima apate magoli mapema

Kwamba huko kwao hawachezi mvua ikinyesha?
 
Siku Simba waliyopigwa 5 kwa 1 na Yanga ilinyesha mvua. Sasa sijui mnasemaje kuhusu hilo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…