Mvua ukanda wote wa Pwani isipokuwa Tanga

Bora isinyeshe, maana watu wa huko watapata sababu ya kushinda ndani wanafanya mchezo mbaya..!!
 
Leo umekubali km wewe veggies 😹
Nakushukuru ila siamini katika ushindani. Naamini katika CCM kuna wazalendo na mapumba na hata Chadema kuna Wazalendo na mapumba. Mfano huwezi kulinganisha uzalendo wa JPM na JK au Samia ambao wanaimaliza nchi.

Kila binadamu ana mapungufu yake, ila tunapoevaluate mtu, tunaangalia pia mabaya wake ameyatenda akiwa na dhamira ya kujinufaisha au kwa kutetea umma. Naomba niishie hapo.
 
Mbona unalia sasa? 😹
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…