Mvua ya ajabu Gairo

Gairo wanachoma Sana mkaa any limechafuka na Moshi wa mkaa wenu

Serikali ihamasishe watu kutumia majiko ya gesi na waondoe mikodi kwenye majiko ya gesi na gesi ya kupikia
 
mabati yenu ndyo machafu acheni kusingizia mvua

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uko sahihi ndugu yangu. Lakini si ya kutisha kivile. Kwa kumbukumbu yangu hafifu ya kemia, CO2 +H2O =H2CO3 (mvua) ambayo ni weak cabonic acid isiyo na madhara sana. Sasa CO2 ikiwa in excess, sina maelezo.

You are right, Any rainwater is already naturally acidic (CO2 itself is slightly acidic) na ni harmless unless it's carying abnormal amount of CO2 ( as atmospheric concentration of CO2 increases). Kwa hiyo hii mvua itakuwa more acidic na yenye madhara kwa binadamu na viumbe vingine.

PS. I am not an expert.
 
Uchawi mtupu huko sindio jirani na yale maeneo iliyonyesha mvua ya mawe ikaleta maafa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
M mbona imeshawahi tokea
 
Sababu 'zinaweza kuwa' ni soot and ash from a volcano or a nuke ambazo nitakuwa caught up in the clouds and get released mixed with rain
=====
Edit.
Australia fires inaweza kuwa pia sababu.

Mmh, okay. Anyway, all answers sound hypothetical. I will agree with these observations as I have no clue.
 
I'm open to other ideas bcz I am not an expert Kocha Mkuu.

Yeah, kinda of brainstorming. I personally don't see how ashes of Australia Fires can make it this far.

And about the nuke, no latest news of eruptions.

So it is a maybe to me.
 
Wanaume wa dar mmeuona mguu wa mwanaume wa mkoani. Semeni Amina.
 
Mguu una nin, mguu wake??



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Gairo wanachoma Sana mkaa any limechafuka na Moshi wa mkaa wenu

Serikali ihamasishe watu kutumia majiko ya gesi na waondoe mikodi kwenye majiko ya gesi na gesi ya kupikia


Sasa si uwaambie maccm wenzako ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…