Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mabati yenu ndyo machafu acheni kusingizia mvuaMVUA YA MAAJABU YANYESHA GAIRO
Habari za kushangaza mvua ya ajabu imenyesha Gairo na maeneo jirani kama Kibaigwa, Mlali na maeneo mengine.
Mvua hiyo iliyonyesha siku mbili mfululizo imekuwa ikitoa maji meusi kama yameoshewa mkaa haijawahi kutokea maeneo haya na inasemekana imenysesha maeneo mengi ya nchi.
Je, mvua hii inaashiria nini na wewe ushawahi iona hii, wanasayansi mvua hii inamaanisha kitu gani? Na je watu wa imani mvua hii inamaanisha nini?
View attachment 1332925
Uko sahihi ndugu yangu. Lakini si ya kutisha kivile. Kwa kumbukumbu yangu hafifu ya kemia, CO2 +H2O =H2CO3 (mvua) ambayo ni weak cabonic acid isiyo na madhara sana. Sasa CO2 ikiwa in excess, sina maelezo.
Yes, in haven on ash day last year.Has it ever happened somewhere else?
Sawasawa, Kuna mahali au mashamba hasa ya miwa/kichaka kimechomwa moto. majivu yakikutana na mvua utaona ajabu
Uchawi mtupu huko sindio jirani na yale maeneo iliyonyesha mvua ya mawe ikaleta maafaMVUA YA MAAJABU YANYESHA GAIRO
Habari za kushangaza mvua ya ajabu imenyesha Gairo na maeneo jirani kama Kibaigwa, Mlali na maeneo mengine.
Mvua hiyo iliyonyesha siku mbili mfululizo imekuwa ikitoa maji meusi kama yameoshewa mkaa haijawahi kutokea maeneo haya na inasemekana imenysesha maeneo mengi ya nchi.
Je, mvua hii inaashiria nini na wewe ushawahi iona hii, wanasayansi mvua hii inamaanisha kitu gani? Na je watu wa imani mvua hii inamaanisha nini?
View attachment 1332925
mbona imeshawahi tokeaMVUA YA MAAJABU YANYESHA GAIRO
Habari za kushangaza mvua ya ajabu imenyesha Gairo na maeneo jirani kama Kibaigwa, Mlali na maeneo mengine.
Mvua hiyo iliyonyesha siku mbili mfululizo imekuwa ikitoa maji meusi kama yameoshewa mkaa haijawahi kutokea maeneo haya na inasemekana imenysesha maeneo mengi ya nchi.
Je, mvua hii inaashiria nini na wewe ushawahi iona hii, wanasayansi mvua hii inamaanisha kitu gani? Na je watu wa imani mvua hii inamaanisha nini?
View attachment 1332925
Sababu 'zinaweza kuwa' ni soot and ash from a volcano or a nuke ambazo nitakuwa caught up in the clouds and get released mixed with rain
=====
Edit.
Australia fires inaweza kuwa pia sababu.
I'm open to other ideas bcz I am not an expert Kocha Mkuu.Mmh, okay. Anyway, all answers sound hypothetical. I will agree with these observations as I have no clue.
I'm open to other ideas bcz I am not an expert Kocha Mkuu.
Mguu una nin, mguu wake??Huo mguu sasa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kwa ujumla hiyo mvua ipo sehemu nyingi kuanzia jana, wengine wakahisi labda kuna moshi angani huku maeneo yetu.
Inawezekana inatokona na moshi wa ule moto mkubwa uliokumba Australia siku za karibu
Nimecheka kwa sauti 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😅
Imebid nirudi kuangalia mguu vzuri😅😅
Duh..!
Kama hiyo ndiyo miguu ya jamaa michafu hivyo sijui matakoni kuna hali gani.![emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimecheka kwa sauti 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😅
Imebid nirudi kuangalia mguu vzuri😅😅
Gairo wanachoma Sana mkaa any limechafuka na Moshi wa mkaa wenu
Serikali ihamasishe watu kutumia majiko ya gesi na waondoe mikodi kwenye majiko ya gesi na gesi ya kupikia
Can't stop laughing 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Huo mguu sasa🤣🤣🤣🤣