Mvua ya ajabu Gairo

Mvua ya ajabu Gairo

MVUA YA MAAJABU YANYESHA GAIRO
Habari za kushangaza mvua ya ajabu imenyesha Gairo na maeneo jirani kama Kibaigwa, Mlali na maeneo mengine.

Mvua hiyo iliyonyesha siku mbili mfululizo imekuwa ikitoa maji meusi kama yameoshewa mkaa haijawahi kutokea maeneo haya na inasemekana imenysesha maeneo mengi ya nchi.

Je, mvua hii inaashiria nini na wewe ushawahi iona hii, wanasayansi mvua hii inamaanisha kitu gani? Na je watu wa imani mvua hii inamaanisha nini?

View attachment 1332925
Je huo mguu ni wako au ndiyo mambo ya mvua nyeusi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni magemu/askari wa misitu wa mbinguni wananyang'anyana mkaa na majangili mkuu
 
Huo mguu sasa🤣🤣🤣🤣

Kwa ujumla hiyo mvua ipo sehemu nyingi kuanzia jana, wengine wakahisi labda kuna moshi angani huku maeneo yetu.

Inawezekana inatokona na moshi wa ule moto mkubwa uliokumba Australia siku za karibu

🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 dah watu mna machooo🤣🤣🤣🤣🤣..my ribs🤣🤣🤣🤣nashindwag elew kwann wenginr wanakua na kucha za nmna hyo! Sijui kutovaa mapema viatu?
 
Sababu ya moto wa Australia. Watu wanapoambiwa kuhusu climate change impacts ndio kama hizo sasa.
Kama ni hivyo basi ingenyeshea sehemu za Arusha kama huyo mghimba wa mvua alisahau sehemu ya Australia. Gairo na Australia wapi na wapi?? Msipende kutujibu kihuni huni maswali yetu.
Mvua iache kuzuiwa na misitu ile ya Kongo ije kunyesha Gairo?? Hii ni ishara kuwa ACACIA wanatupiga defrau tena!!!! Sitishii. Serekali iwe macho. Hili ni onyo kuwa, tusiwasikilize. Waende hukoooo kwani dhahabu iko Tz peke yake?? Nendeni kwingine tena. Dhahabu yetu haiozi. Mpaka watukubalie matakwa yetu.
Huu ndio uzalendo. Tena walipe kabla ya kuchukua oz moja
 
Huo mguu sasa🤣🤣🤣🤣

Kwa ujumla hiyo mvua ipo sehemu nyingi kuanzia jana, wengine wakahisi labda kuna moshi angani huku maeneo yetu.

Inawezekana inatokona na moshi wa ule moto mkubwa uliokumba Australia siku za karibu
[/QUO
 
Sidhani ,ingawa mvua nyesui nyingi husbabishwa na uchafuzi wa mazingira. mfano soma "Black rain is one of the environmental hazards of the Persian Gulf War, along with the oil spills threatening wildlife and water supplies along the Saudi and Iranian shorelines".
Nadhani inategemea. Nyingine ukisoma zilizowahi kunyesha zilikuwa na madhara.
Na hususani kama the rain is carrying abnormal amount of CO2.
 
Mguu wa greater thinker wa jamii forum, hii forum burudani kweli kweli raia baada ya kuona rangi nyeusi ya maji ya mvua wameona mguu mweusi
 
MVUA YA MAAJABU YANYESHA GAIRO
Habari za kushangaza mvua ya ajabu imenyesha Gairo na maeneo jirani kama Kibaigwa, Mlali na maeneo mengine.

Mvua hiyo iliyonyesha siku mbili mfululizo imekuwa ikitoa maji meusi kama yameoshewa mkaa haijawahi kutokea maeneo haya na inasemekana imenysesha maeneo mengi ya nchi.

Je, mvua hii inaashiria nini na wewe ushawahi iona hii, wanasayansi mvua hii inamaanisha kitu gani? Na je watu wa imani mvua hii inamaanisha nini?

View attachment 1332925
Hongera kwa kuwa makini. Hata Dar es salaam pia maji ya mvua ya juzi yalikuwa meusi. Aliniambia kijana wangu kuwa maji ya mvua ni meusi ila sikutilia maanani. Ngoja tusubiri watu wa TMA huenda wakawa na sababu za kitaalamu.
 
Nadhani inategemea. Nyingine ukisoma zilizowahi kunyesha zilikuwa na madhara.
Na hususani kama the rain is carrying abnormal amount of CO2.
Uko sahihi ndugu yangu. Lakini si ya kutisha kivile. Kwa kumbukumbu yangu hafifu ya kemia, CO2 +H2O =H2CO3 (mvua) ambayo ni weak cabonic acid isiyo na madhara sana. Sasa CO2 ikiwa in excess, sina maelezo.
 
Kama ni hivyo basi ingenyeshea sehemu za Arusha kama huyo mghimba wa mvua alisahau sehemu ya Australia. Gairo na Australia wapi na wapi?? Msipende kutujibu kihuni huni maswali yetu.
Mvua iache kuzuiwa na misitu ile ya Kongo ije kunyesha Gairo?? Hii ni ishara kuwa ACACIA wanatupiga defrau tena!!!! Sitishii. Serekali iwe macho. Hili ni onyo kuwa, tusiwasikilize. Waende hukoooo kwani dhahabu iko Tz peke yake?? Nendeni kwingine tena. Dhahabu yetu haiozi. Mpaka watukubalie matakwa yetu.
Huu ndio uzalendo. Tena walipe kabla ya kuchukua oz moja
Ungejua madhara ya climate change kwa dunia hii hakika usingelibeza michago ya wenzako. Huwezi hata kujiuliza kuongezeka kwa joto la dunia kunakosababishwa na viwanda vya ulaya kunavyochangia kuyeyusha barafu ya mlima Kilimajaro ulioko Tanzania?
 
Uko sahihi ndugu yangu. Lakini si ya kutisha kivile. Kwa kumbukumbu yangu hafifu ya kemia, CO2 +H2O =H2CO3 (mvua) ambayo ni weak cabonic acid isiyo na madhara sana. Sasa CO2 ikiwa in excess, sina maelezo.
Umeajiriwa na ofisi ya mvua Tz au?? Tueleze basi, kwa nini Gairo tu na sio kwingineko??
 
Umeajiriwa na ofisi ya mvua Tz au?? Tueleze basi, kwa nini Gairo tu na sio kwingineko??
Hahaha! hapana ndugu yangu, sijaajiriwa na yeyote. Ni general knowledge tu ya mambo ya climate change impacts. Huwa yanakuwa na multiplying effects. Sio lazima madhara yatokee katika eneo uharibifu unapofanyikia. Mfano umeshajiuliza ni kwanini wazungu wanatoa hela nyingi sana kulinda mazingira Africa (misitu)? Mojawapo ya sababu ni kwamba wanajua wao ndio wazalishaji wakubwa sana wa hewa ya carbondioxide ambayo ni hatari kwa kiwango cha joto la dunia. Hivyo wanajua misitu itasaidia kuipunguza kwa kuifyonza. Unaona sasa?? Hewa inazalishwa kwa wingi Ulaya sbb ya viwanda lakini inakuja kufyonzwa Africa na katika mabara mengine yenye misitu mikubwa. Hiyo inaitwa multiplier effect.
 
Back
Top Bottom