Mvua ya Mawe (Hailstorm) Geita

Mvua ya Mawe (Hailstorm) Geita

Daah!,,,Hilo bogi lingegonga Dom ingekua mukide kinyamela
 
Inawezekana wengi hamjawahi kuiona hiyo mvua lakini mmewekewa picha hapo bado mnajidai vichwa ngumu huku mnaziangalia kwa makini hasa.
Wabongo wakuda tu ila na mimi kwasababu ni mbongo sisumbuliwa na wakuda wenzangu.
 
Niliambiwa hivyo vibarafu ukila ni dawa ya majipu yaan majipu hayatokupata, miaka 15 iliyopita nilikula hivyo kule Njombe
 
Ni mara ya kwanza kuona mvua mpaka ujaze server ya jf? Hujui mvua yoyote ni mabarafu yanadundoka mpaka yatufikie yanakuwa yameyeyuka?
 
Ni mara ya kwanza kuona mvua mpaka ujaze server ya jf? Hujui mvua yoyote ni mabarafu yanadundoka mpaka yatufikie yanakuwa yameyeyuka?
Mimi bado mgeni mkuu sielewi kitu. Hebu nipe somo vizuri.
 
Back
Top Bottom