Chaliifrancisco
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 26,021
- 79,710
- Thread starter
- #41
Tatizo wana njaa. Unajua wazungu huwa wanasema "a hungry man is an angry man" yaani "mtu mwenye njaa anakuwa na hasira".watu wamechafukwa humu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tatizo wana njaa. Unajua wazungu huwa wanasema "a hungry man is an angry man" yaani "mtu mwenye njaa anakuwa na hasira".watu wamechafukwa humu
Waache tu waje mimi nime specialize kwenye ku handle watu wenye stress.Jaman eee stress zenu msimhamishie mtoa mada. Pambaneni na stress zenu
Nayasikia tu kwa wengineVipi hujawahi kupata jipu?
Inaongeza nguvu za kiumeNa ukila udongo wakati wa tetemeko l ardhi inatibu nini?
Ushirombo Kuna uwekezaji mkubwa sana pake. Kuna viwanda, bandari na kituo Cha kurushia roketi kwenda anga za mbali.😄😄 Geita ya wapi hio Mzungu aliwekeza miaka ya hamsini?
Hahaha ngoja nasubiri tetemeko asee nipige doughInaongeza nguvu za kiume
Sio ndio wanaita Gamboshi mkuu. Nasikia kuna mji mkubwa sana una miundombinu ambayo hata Nyuyoku hamna.Ushirombo Kuna uwekezaji mkubwa sana pake. Kuna viwanda, bandari na kituo Cha kurushia roketi kwenda anga za mbali.
Vyote hivi mpaka upakwe dawa na Bhagheshi Ntogwisango ndio utaweza kuviona.
Dah! wee jamaa na majina ya kutokea pande hizo za gambushi, msalimie kissendi nyanda ntalima mpandagoye.....Ushirombo Kuna uwekezaji mkubwa sana pake. Kuna viwanda, bandari na kituo Cha kurushia roketi kwenda anga za mbali.
Vyote hivi mpaka upakwe dawa na Bhagheshi Ntogwisango ndio utaweza kuviona.
😁😁😁 Hiiiiiiiiii baghoshaaaaa.Ushirombo Kuna uwekezaji mkubwa sana pake. Kuna viwanda, bandari na kituo Cha kurushia roketi kwenda anga za mbali.
Vyote hivi mpaka upakwe dawa na Bhagheshi Ntogwisango ndio utaweza kuviona.
Karibu mkuuIla hapo ulipopiga picha pazuri!!
Mgeresi naona kawinter ka ulaya kamewapitia.Mlioko Geita hii mvua ya mmeiona? Mimi mahali nilipo imenyesha kwanza mvua yakawaida tokea mchana ila muda mfupi uliopita ikaja ya mawe (hailstorm) kama kwa dakika kumi hivi sasa imekata.
View attachment 1947311View attachment 1947314View attachment 1947316View attachment 1947323
Niaje Mkaldayo? Asee kalipita hapa ka hailstorm fulani ila kameumiza sana mimea.Mgeresi naona kawinter ka ulaya kamewapitia.
Huwa noma sana ukute sasa hakuna mti mkubwa kama wa ukwaju au mwembe kujikingaUnajificha uvunguni mwa ng'ombe
Ndio imani yetu kule wanaamini hata kama hudindishi wewe okota vibarafu vipachike kunako hadi viyeyukie baada ya hapo mambo mukideNiliambiwa hivyo vibarafu ukila ni dawa ya majipu yaan majipu hayatokupata, miaka 15 iliyopita nilikula hivyo kule Njombe
MapunyeNa ukila udongo wakati wa tetemeko l ardhi inatibu nini?
Ndio imani yetu kule wanaamini hata kama hudindishi wewe okota vibarafu vipachike kunako hadi viyeyukie baada ya hapo mambo mukide
Sent from my SM-G9350 using JamiiForums mobile app
Inabidi ufiche tu kichwa sehemu nyingine ukubali tu zipigwe mawe.Huwa noma sana ukute sasa hakuna mti mkubwa kama wa ukwaju au mwembe kujikinga
Sent from my SM-G9350 using JamiiForums mobile app
Kissendi Nyanda Ntalima Mpandagoya anakusalimia, anasema MWAFRIKA JITAMBUEDah! wee jamaa na majina ya kutokea pande hizo za gambushi, msalimie kissendi nyanda ntalima mpandagoye.....