Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,108
- 10,191
Sio mawe unayoyafahamu ni vipande vya mabarafu nishawahi kuishuhudia sengeremaMvua ya mawe??seriously?hayo mawe yanatoka wapi binafsi sijawahi kushuhhdia mvua ya mawe
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha mvua ya mawe! Niliwahi kushuhudia mvua ya samaki huko Kiomboi miaka ya 1980's.
Na ajabu samaki wengine walidondoka wakiwa hai kabisa na kutapatapa.
Ni barafu Ila wanaiterm as mvua ya maweMvua ya mawe??seriously?hayo mawe yanatoka wapi binafsi sijawahi kushuhhdia mvua ya mawe
Sent using Jamii Forums mobile app
Sikumalizia story nikivizia wadadisi kama wewe. Nilishangaa sana kuona mvua imenyesha na samaki wamedondoka toka juu.Acha utani ww
šššš we bado hujazaliwa,,, kijachoMvua ya mawe??seriously?hayo mawe yanatoka wapi binafsi sijawahi kushuhhdia mvua ya mawe
Sent using Jamii Forums mobile app
Hatuchekani mkuu acha tuendelee kushuhudia haya ya chini tu hakuna kinachoharibikašMvua ya mawe??seriously?hayo mawe yanatoka wapi binafsi sijawahi kushuhhdia mvua ya mawe
Sent using Jamii Forums mobile app
Yes, Pale MwakataWaongo hao kuna ile mvua ilinyesha huko sijui shinyanga jiwe moja la barafu linatoboa bati vunja chochote inachokutana nacho mbuzi ng'ombe walikufa huyo anasema nini
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha utani ww
Sikumalizia story nikivizia wadadisi kama wewe. Nilishangaa sana kuona mvua imenyesha na samaki wamedondoka toka juu.
Baada ya udadisi wa maajabu hayo ndio nikagundua kuwa mvua ile ilikuja na kimbunga (wanaita chamchela, kile kinatembea kwa kuzunguka kwa kasi), hivyo mvua ikinyesha eneo la ziwa samaki wanatoka chini na kucheza juu ya maji wakidhani matone ya mvua ni chakula.
Kikipita hicho kimbunga kinachota hadi samaki na kuwatupa mbali na ziwa kinapoisha nguvu. Hivyo huu sio utani
Me tooAcha mvua ya mawe! Niliwahi kushuhudia mvua ya samaki huko Kiomboi miaka ya 1980's.
Na ajabu samaki wengine walidondoka wakiwa hai kabisa na kutapatapa.
Hiyo nakumbuka niliona aitiviiiiWaongo hao kuna ile mvua ilinyesha huko sijui shinyanga jiwe moja la barafu linatoboa bati vunja chochote inachokutana nacho mbuzi ng'ombe walikufa huyo anasema nini
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa inawezekana ilikuwa hivyo, je kuna aliheripoti hilo tukio? Hivyo vyombo vya kimataifa vilikuwa na representatives wao katika hayo maeneo kuripoti tukio moja kwa moja?Waongo hao kuna ile mvua ilinyesha huko sijui shinyanga jiwe moja la barafu linatoboa bati vunja chochote inachokutana nacho mbuzi ng'ombe walikufa huyo anasema nini
Sent using Jamii Forums mobile app