sayoo
JF-Expert Member
- Nov 19, 2014
- 5,280
- 7,930
Acha huyo kuna mvua moja kubwa mvua ya kuku, ilitokea huko singida miaka ya 1973 , yaani hiyo mvua ilikua balaa kuku wengine walikua wana fika chini tu na kutaga mayai hapo hapo,Acha mvua ya mawe! Niliwahi kushuhudia mvua ya samaki huko Kiomboi miaka ya 1980's.
Na ajabu samaki wengine walidondoka wakiwa hai kabisa na kutapatapa.
Nahisi hii mvua ndio itakua imepelekea singida kua na kuku wengi
Sent using Jamii Forums mobile app