Mvua ya mawe Mafinga na baadhi ya maeneo ya mkoa wa Iringa

Kiungopunda

JF-Expert Member
Joined
Oct 24, 2023
Posts
1,349
Reaction score
3,145
Leo hapa mafinga kumepiga mvua ya mawe na hali ilikuwa kama hivi.


Sehemu nyingine hali ilikuwa hivi.



Hali ya barabara ya TANZAM ilikuwa hivi.

Your browser is not able to display this video.


Haki hii pia imeripotiwa maeneo mbalimbali ya mkoa wa Iringa.
 
Kuleni na mpakie kwenye magunia muhi wefadhi. Kiceho ni chakuna kutoka Mbinguni maana inakuja miaka ya njaaa. Hili ni sawa na kile wana waizrael walikishangaa na kukiona MANA na waarabu wakiig huua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…