ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 25,030
- 61,298
World bank ndo wange finance hayo madaraja na designing imekuwa ikifanyika..B nyingi sanaTANROADS wahuni tu
Ova
World bank ndo wange finance hayo madaraja na designing imekuwa ikifanyika..B nyingi sanaTANROADS wahuni tu
Ova
Mama hana deniDaraja la Mto Matandu likiwa limekatika tena leo, Jumatatu Aprili 7, 2025, baada ya mwaka jana kukatika kufuatia mvua za El Nino zilizoambatana na kimbunga Hidaya. Pia, daraja la Somanga Mtama limekatika na kukata mawasiliano kati ya Dar es Salaam na mikoa ya kusini.
View attachment 3295822
SOURCE: Mwananchi Digital
Tazama: Daraja la Somanga lilivyokatika mwaka 2024
mama hana deniNdio ujue sisi hatuna viongozi.. Hiyo barabara imezingua toka mwaka ule wa mafuriko, lakini ilikuwa haijarekebishwa mpaka mvua nyingine zimeanza,
Nchi ya kijinga sana hii.
Mama hana deni,,Mama asemewee,,,#tunaenda na mamaMi niko sebuleni kwa shemeji nimeumizwa na hiyo kitu ila cha ajabu hao watu waliokumbwa na hiyo shida wakihojiwa watakuwa wanasifia tu, ni ngumu sana kumhurumia mTanzania, wanapenda sana kuonewa wakiamini huo ndiyo ukarimu.
Nikikuta kenge kama hii nafsi inachukia sana.Ma
mama hana deni
Watu wanakula kwa urefu wa kamba zao.TANROADS wahuni tu
Ova
Hata simu hawapatani?Holy Moly!Daraja la Mto Matandu likiwa limekatika tena leo, Jumatatu Aprili 7, 2025, baada ya mwaka jana kukatika kufuatia mvua za El Nino zilizoambatana na kimbunga Hidaya. Pia, daraja la Somanga Mtama limekatika na kukata mawasiliano kati ya Dar es Salaam na mikoa ya kusini.
View attachment 3295822
SOURCE: Mwananchi Digital
Tazama: Daraja la Somanga lilivyokatika mwaka 2024
Mama huyo Katujengea barabara na madaraja kila mwaka lazima kujenga tena upya!!😂😂Ndio ujue sisi hatuna viongozi.. Hiyo barabara imezingua toka mwaka ule wa mafuriko, lakini ilikuwa haijarekebishwa mpaka mvua nyingine zimeanza,
Nchi ya kijinga sana hii.
Kabisa na wananchi nasi ndio mabwege mtozeni kabisa.Hawa viongozi wetu wa kusini ni vilaza wote
Ni aibu Sana mpaka Leo barabara kuu ya kusini inakatika kijinga hivi Kwa kukosa darajaKabisa na wananchi nasi ndio mabwege mtozeni kabisa.
Hapo mkuranga hakuna barabara hata 1 yenye lami kuingia ndani, sio ile ya kisiju pwani, sio ile ya TENGELEA ambayo unatoka mkuranga, unafika dondwe to mvuti kisha chanika, hazizidi km 20 hivi, yaani hakuna kabisa, sasa hivi watapewa rasha rasha waongopewe kisha uchaguzi ukipita ndio imetoka.
Rufiji, makao makuu yao UTETE hakuna lami, bungu hapo kibiti kwenda nyamisati hakuna lami na zile ni km 42 tu.
Nangurukuru kwenda njinjo, kwenda liwale huko, hakuna lami.. Yaani nchi hii ukitembea ndio unaona vichekesho
Na hapa tujue yule Mzee asiyetaka ujinga amesema urithi atatoa tu kwa Wanae na ndugu zake wachache na sii kwa majirani tena ,hivyo badala ya kuwafurahisha chawa na kufadhili uchafuzi tufanye mambo yenye kulisaidia taifa na watu wake.Tusioelewa tutakutwa na aibu kuu huku tukifarijiwa na kudanganyana kwa kuwa wengine wanaweza kushibisha tumbo zao tu.Daraja la Mto Matandu likiwa limekatika tena leo, Jumatatu Aprili 7, 2025, baada ya mwaka jana kukatika kufuatia mvua za El Nino zilizoambatana na kimbunga Hidaya. Pia, daraja la Somanga Mtama limekatika na kukata mawasiliano kati ya Dar es Salaam na mikoa ya kusini.
View attachment 3295822
SOURCE: Mwananchi Digital
Tazama: Daraja la Somanga lilivyokatika mwaka 2024
Acha kabisaa mkuuMeli unyama sana kwenye issue ya abiria na mizigo. Ingekua cheap na fast.
Tumekaa na kusifiana kuupiga mwingi ila tuitarajie aibu kuu muda sii mrefu.TANROADS wahuni tu
Ova
Mwaka wa takriban wa 64 toka tupate uhuru lakini cha maana hatuna, barabara mtihani, maji tabu, afya changamoto, elimu tatizo kila sehemu ni kero.Ni aibu Sana mpaka Leo barabara kuu ya kusini inakatika kijinga hivi Kwa kukosa daraja