Mvua yakata mawasiliano Dar na Mikoa ya Kusini

Ndio ujue sisi hatuna viongozi.. Hiyo barabara imezingua toka mwaka ule wa mafuriko, lakini ilikuwa haijarekebishwa mpaka mvua nyingine zimeanza,

Nchi ya kijinga sana hii.
Mama huyo Katujengea barabara na madaraja kila mwaka lazima kujenga tena upya!!😂😂
 
Hawa viongozi wetu wa kusini ni vilaza wote
Kabisa na wananchi nasi ndio mabwege mtozeni kabisa.
Hapo mkuranga hakuna barabara hata 1 yenye lami kuingia ndani, sio ile ya kisiju pwani, sio ile ya TENGELEA ambayo unatoka mkuranga, unafika dondwe to mvuti kisha chanika, hazizidi km 20 hivi, yaani hakuna kabisa, sasa hivi watapewa rasha rasha waongopewe kisha uchaguzi ukipita ndio imetoka.
Rufiji, makao makuu yao UTETE hakuna lami, bungu hapo kibiti kwenda nyamisati hakuna lami na zile ni km 42 tu.
Nangurukuru kwenda njinjo, kwenda liwale huko, hakuna lami.. Yaani nchi hii ukitembea ndio unaona vichekesho
 
Ni aibu Sana mpaka Leo barabara kuu ya kusini inakatika kijinga hivi Kwa kukosa daraja
 
Na hapa tujue yule Mzee asiyetaka ujinga amesema urithi atatoa tu kwa Wanae na ndugu zake wachache na sii kwa majirani tena ,hivyo badala ya kuwafurahisha chawa na kufadhili uchafuzi tufanye mambo yenye kulisaidia taifa na watu wake.Tusioelewa tutakutwa na aibu kuu huku tukifarijiwa na kudanganyana kwa kuwa wengine wanaweza kushibisha tumbo zao tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…