Mvua za El nino: Serikali inasubiri nini kufunga shule

Mvua za El nino: Serikali inasubiri nini kufunga shule

Hii mvua na iishe imetosha ikanyeshe huko mashambani kwa mjini imetosha.
 
Watu wa Dar mna matatizo ya akili sana, hii mvua inaweza kwenda hadi mwezi wa pili kwahiyo mtoto asiende kipindi chote hicho?

Basi na nyie msiende kazini mkae hapo na watoto wenu. Mvua tuu mnalia lia je kutembea 10Km kufuata elimu na maji mtaweza nyie
 
Hoja yako ni ya msingi na inafaa kuungwa mkono na kila mtu mwenye utu.

Haiwezekani watoto wanaenda shule Kwa tabu namna hiyo tena wakifofia maisha yao .

Na wakifika shuleni akili zao zinabaki kuwaza mvua na wasiwe na uwezo wa kumsikiliza mwalimu wao .

Wakati huohuo waonapo rudi majumbani usalama ni nusu .

Serikali ifunge shule Kwa Chekechea,na shule za msingi mikoa yenye El nino
Mkuu jana kuna mwanafunzi wa darasa la 4 amesombwa maji akitokea shule barabara zilijaa maji hadi sasa haijulikani alipo.
 
Mi mwenyewe nimelowa sana Leo wakati wa kurudi home...mvua gani haisikii hata mwamvuli....imeharibu mwamvuli wangu umegeuka juu kwa upepo mkali....kesho siendi kazini😖
Utaenda tu huko kazini si una li honey lako litakuita likakununulie vitumbua na bajia mji mwaemwae...😂
 
Yaani mvua ya siku moja tu shule zifungwe? Nyie watu wa Dar mnawalea watoto kimayai sana na ndio maana siku hizi na wa kiume wanashikishwa ukuta (wanagegedwa).
 
Binafsi nimeumia sana mwanangu nimemuona amekuwa kama Bata hizi mvua tabu sana
 
Back
Top Bottom