Mvua za El nino: Serikali inasubiri nini kufunga shule

Hii mvua na iishe imetosha ikanyeshe huko mashambani kwa mjini imetosha.
 
Watu wa Dar mna matatizo ya akili sana, hii mvua inaweza kwenda hadi mwezi wa pili kwahiyo mtoto asiende kipindi chote hicho?

Basi na nyie msiende kazini mkae hapo na watoto wenu. Mvua tuu mnalia lia je kutembea 10Km kufuata elimu na maji mtaweza nyie
 
Mkuu jana kuna mwanafunzi wa darasa la 4 amesombwa maji akitokea shule barabara zilijaa maji hadi sasa haijulikani alipo.
 
Mi mwenyewe nimelowa sana Leo wakati wa kurudi home...mvua gani haisikii hata mwamvuli....imeharibu mwamvuli wangu umegeuka juu kwa upepo mkali....kesho siendi kazini😖
Utaenda tu huko kazini si una li honey lako litakuita likakununulie vitumbua na bajia mji mwaemwae...😂
 
Yaani mvua ya siku moja tu shule zifungwe? Nyie watu wa Dar mnawalea watoto kimayai sana na ndio maana siku hizi na wa kiume wanashikishwa ukuta (wanagegedwa).
 
Binafsi nimeumia sana mwanangu nimemuona amekuwa kama Bata hizi mvua tabu sana
 
Tatizo katoto kako ni kamoja to tu kama roho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…