Mvua kubwa iliyonyesha Nairobi usiku wa Ijumaa imeleta madhara makubwa baada ya mafuriko kuharibu major water pipelines, na kusababisha water shortage kwa estates zaidi ya 15. Kulingana na Nairobi City Water, maeneo yaliyoathirika ni pamoja na Buruburu, Kariobangi, Dandora, Mathare, Eastleigh, Jericho, Harambee na Korogocho.
Mafuriko yalivunja mabomba muhimu kama Outering Road pipeline na Eastleigh–Kiambiu line, hivyo kusimamisha usambazaji wa maji. Wakati huo huo, Mvua hizi tayari zimesababisha vifo vya watu 23 Nairobi, huku serikali ikipeleka KDF na emergency teams kusaidia waathirika na kufanya rescue operations.
Nairobi Water imesema mafundi wako site wakifanya repairs lakini imeomba wananchi kuwa na patience wakati huduma ikirejeshwa.
Source: Nairobi Wire