Mvua zinanyesha nchi nzima, mavuno kwa wingi yanavunwa na kelele za "Bashe Funga Mipaka" zimekwisha

Mleta mada ni taahira msameheni
Ningekuwa taahira usingesoma post yangu, ungeniweka kwenye kitufe cha IGNORE. Najuwa unatamani kuwa kama mimi ila mimi ni mimi tu, na Crimea huwezi kuwa kama mimi. Endelea kunisoma na kujibu pumba kwenye posts zangu
 
Unakiri kuna upungufu mkubwa wa chakula ila huafiki suala la kufunga mipaka?
 
Nimegundua humu tuna watu wengi sana wenye upeo kiduchu. Wewe ni Mmoja wao.. ila utabisha.
 
Hapo ulipo unanuka mavi. Maana unaliwa back
 
Unakuta mtu yupo Buguruni anapita dukani anakwambia bei za vyakula zimepanda nchi nzima asijue kwamba anaongelea Buguruni na bei za vyakula mikoani zipo vilevile. Kilichokuwa kimepanda ni bei za mafuta tu
Kenge usie na akili
 
Kukaa mjini tu siku zote bila kwenda mikoani huwezi jua lolote linalohusiana na hali ya mazao nchini.
Mvua inayonyesha haina impact yoyote kwa sasa.
Kwenye mikoa ya kanda ya ziwa mvua hunyesha kwa msimu mmoja tu.
Sasa mazao yote yalikauka baada ya kukosa mvua za mwanzo.
Huko mpaka sasa pamoja na kufunga mipaka mahindi na mchele bado yanabei kubwa Kama hujui.
Debe moja la mahindi linanunuliwa kwa Tshs 19000.
Mchele nao bei iko juu na unauzwa Tshs 25000.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…