Nobunaga
JF-Expert Member
- Mar 22, 2019
- 1,205
- 5,121
Huku mtaani kwetu tunaingia wiki ya 4 sasa tangu maji yakate, kipindi wanatangaza mgao tayari ulishaanza kimya kimya sehemu kibao za jiji la Dar.
Nimekaa nawaza hapa, ina maana hawa viongozi wetu wamekaa wamerelax kabisa kwamba hawana la kufanya? Hivi hawaoni kwamba this is an emergency state?
Ni kweli mmetulabel kwamba watu wa Dar kitu kidogo tuu wanalalamika, kwamba ni walalamishi sana. Lakini kweli inaingia akilini jiji namba 1 kwa biashara ambalo linaingiza GDP kubwa kushinda mikoa yote, linakuwa kwenye mgao mkali wa maji kwa mwezi au miezi bila serikali kuwa na rescue plan yoyote? Kwamba viongozi wote kuanzia Waziri Mkuu, Waziri wa Maji wamekaa tuu na wao wanasubiri mvua?
As a common citizen I find it difficult to understand our leaders.