Mvuha, Morogoro pana joto siyo la kawaida, hii hali italeta maafa

Mvuha, Morogoro pana joto siyo la kawaida, hii hali italeta maafa

Tafuteni pesa, joto litawaunguza, juzi na Jana nilikuwa fish market, Leo nipo beach kidimbwi, hilo joto msio napesa mtalitungia nyimbo. Tafuta hela ule bata. Tunakula misamaki na pisi kali kama zote.

Hasira dawa yake pesa.
Hzo hela unazitaftia wap , hyo misemo itawazeesha kenge nyie , daah sema mtoa mada ana bonge la Tako
 
Kwa yeyote aliye hapa Mvuha atakubaliana namimi kwamba hili joto siyo la kawaida.

Hebu tupashane habari za jotoridi hapo ulipo.
Mbona inaonyesha ni 30c, ipo chini bado
Screenshot_2022-10-31-13-27-48-25.jpg
 
Mkiambiwa pandeni miti
Mnajifanya mko bize kufaitilia bongo fleva wasanii umbea umbea usimba yanga...Acha joto liwapige

Ova
 
Back
Top Bottom