Mvuke kwenye maji ya baridi chanzo chake ni nini?

Maji ya Moto na yasiyo na Moto ukiweka kwenye friji yapi yataanza Kuganda na kwanini yaanze hayo kuganda?
 
Habari ya muda huu wanajamii,

Nina jambo linanichanganya kidogo naomba ufafanuzi kwa anayefahamu. Hivi ule mvuke unaokuwa unachuruzika kwenye chupa ya maji ya baridi huwa unatoka wapi na kama umewahi fanya utafiti kama maji ni ya baridi sana na ukaiweka.

Hiyo chupa kwenye chombo kingine kama beseni au hata sahani utakuta kwenye hiko chombo pia panakuwa na maji baada ya ule mvuke kuchuruzika chini lakini yale maji ya kwenye chupa hayapungui yanabaki ujazo uleule kama yalivyokuwa awali.

Ninachohitaji kufahamu yale yaliyochuruzika huwa yanatoka wapi?

Asante
Kama ilivyo ngozi yako ndivyo chupa ilivyo, ngozi yako ina vitundu vidogovidogo kwa ajili ya kutoa jasho ili mwili upumue na chupa ya maji inavyo vitundu kama hivyo ili nayo upumue! Sasa ile moshi unaouona unatoka mwilini mwako kwani mwili wa mtu hutoa joto na joto hilo huchemsha maji yaliyomo mwilini na mvuke (moshi) hutoka kupitia vitundu vya kwenye ngozi!
Shule muhimu, elimu, elimu, elimu + elimu.
CCM oyee
Oyeeeeeeh.
 
Oyeee

Ulichoandika kinasomeka Ila sijakuelewa kidogo hivyo Nina maswali natamani unipatie majibu ili niweze kuelewa vizuri kwenye jibu lako,

1:Je hayo matundu yaliyo kwenye chupa yanatoa maji wakat yakiwa ya baridi tu?maana maji yakiwa kwenye normal temperature kma tununuavyo dukani hutoona huo mvuke niliouliza kwamba unatokea wap,lakini pia kumbuka unapoifunga ndoo ya maji ikiwa na maji nusu baada ya muda flani utaikuta ndoo hiyo kwa ndani nayo Ina mvuke je unahis mvuke huo pia umepita kweny vitundu hivyo ulivyosema maana hapo mvuke huwa upo ndani na sio nje. Tafakari Sana majibu yako na nature ya swali langu juu

2:je kulingana na jibu lako unaweza ukaniambia Kama chupa inavitundu ambavyo vinaruhusu maji kupita(kutoka nje)kma ulivyo husianisha mechanisms ya ngozi unaweza niambia kwann Sasa ujazo unabaki kuwa ule ule kma Ni 1litre inabaki kuwa hvyo? Hali yakuwa umesema mvuke ule Ni maji Yale yale yanapita kwenye vitundu .....
 
Ehee hapohapo! Kwanini ngozi yako haitoi jasho kukiwa na baridi licha ya hayo matundu ya ngozi kuwapo! Swali jingine.
 
Kavurugwa huyo!! Achana nae
 
Ehee hapohapo! Kwanini ngozi yako haitoi jasho kukiwa na baridi licha ya hayo matundu ya ngozi kuwapo! Swali jingine.
Mechanism uliyotaka kuvitumia kwenye context ya swali hili umechemka kasome jibu la mtu wa kwanza kabisa liko Waz hii concept Ni ya physics Zaid na sio bios kma unachotaka kuforce. Nimekuuliza kma vitundu vipo na ndio vinavyopitisha maji kwann maji hayaishi kweny chupa ? Ukumbuke mwili wa binadam huwa unapoteza maji unapochemka kwa kias fulan ndio maana hospital mgonjwa wakimchek joto kidgo tu utasikia Hana maji mwilin au unajua yanapotea kwa kuharisha na kutapika tu? Kwann Sasa ya kwenye chupa yasipungue kma kwel yanatoka ndan kuja nje kupitia vitundu hahahahaha nimeufunga mjadala Sina haja ya kuhitaji majibu yako kweny hili ulisisitiza shule elimu elimu kwanza unajua kma wewe ndio unapaswa kuwa mteja namba moja wa shule kwasab maarifa uliyo nayo hujui mazingira sahih ya kuyatumia......
 
Sasa jibu langu halisi ni condensation, maji baridi ndani ya chupa, haki ya nje ya chupa ni ya joto na kuna mvuke usiouona, ubaridi wa maji hugandisha mvuke uliouzingira chupa hivyo kusababisha unyevu au maji unayoyaona, hali hii ndiyo inayofanyika kutengeneza mvua na sawa na ule mstari wa moshi (ni wingu) unaoonekana ndege ipitapo anga za juu.
Hii ni elimu ya darasa la kwanza unapojifunza asili ya mvua.
 
Kuna kitu nimeking'amua katika swali lako na nitalijibu kwa namna hii.

Kinachotoka nje ya chombo kilichotiwa maji baridi sana sio Mvuke ila ule ni Ukungu(Dew). Kwa nielewavyo mimi, mvuke hupatikana pale ambapo maji yanakuwa yanachemka ila Ukungu hupatikana panapokuwa na hali ya mgandamizo mkubwa wa baridi au Low Temperature. Kinachochuruzika ni Umande(Mist)

Nipo tayari kurekebishwa hapo juu
 
Back
Top Bottom