Mvulana huyu kashangaza wengi siku ya jana kisa...

Wazee wa kutia mkeka tunaelewa kwanini ogo alikuewa anagalagala kiasi hicho.

Kama una ugonjwa wa Moyo huruhusiwi kubet maana muhindi si mtu mzuri
 
Wazee wa kutia mkeka tunaelewa kwanini ogo alikuewa anagalagala kiasi hicho.

Kama una ugonjwa wa Moyo huruhusiwi kubet maana muhindi si mtu mzuri
hahha, sasa huyo aliyekuwa anasema "alibeti mkeka mkubwa" ndio inakuwaje hapo mkuu.
Hebu nieleweshe
 
hahha, sasa huyo aliyekuwa anasema "alibeti mkeka mkubwa" ndio inakuwaje hapo mkuu.
Hebu nieleweshe
Mkeka Mkubwa huyo aliweka timu nyingi sana kama kumi na tano kwenda mbele halafu akawa ameweka pesa ndogo mno

ungemuuliza vizuri pesa aliyoweka kama sio 500/= basi hahizidi buku mbili ila kaingiza hiyo M1.85

Ndio maana kachanganyikiwa huyo dogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…