- Thread starter
- #21
Hawakumpiga kabisa, wengine waliishia kucheka nikiwemo mimi, wengine walifoka sana. hahahahahahmmmmm Nahuja huyo alistahili vibao vingi sanaaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawakumpiga kabisa, wengine waliishia kucheka nikiwemo mimi, wengine walifoka sana. hahahahahahmmmmm Nahuja huyo alistahili vibao vingi sanaaa
Hapana Chezea Kwa Kwelihahah, hajawahi kupata kiwango kikubwa hivyo. Chezea 1,850,000/=
Jela kama ghetto tuMngebadilishana, na wewe ungesumbuliwa Jela maisha.
Ni mdogo sana. Nadhani hata laki mbili hajawahi kuzishika.Hapana Chezea Kwa Kweli
Alistaili Kuchanganyikiwa Tu. Usikute Hajawah Kumiliki Inayokaribiana Na Hiyo.
Haya wape salamu corner barhahahah, Namba B
Ndio Maana Basi.Ni mdogo sana. Nadhani hata laki mbili hajawahi kuzishika.
Ndio maana haukuwa dereva.Mi ningekuwa dereva ningemgonga afe ili hela aliyoshinda itumike kwenye mazishi yake maana baadae asisumbue watu
Jela kama ghetto tu
hahah, sijui leo kana hali. si ajabu hata jana hiyo hiyo kajifunza kunywa pombe kama alikuwa hanywiNdio Maana Basi.
hahha, sasa huyo aliyekuwa anasema "alibeti mkeka mkubwa" ndio inakuwaje hapo mkuu.Wazee wa kutia mkeka tunaelewa kwanini ogo alikuewa anagalagala kiasi hicho.
Kama una ugonjwa wa Moyo huruhusiwi kubet maana muhindi si mtu mzuri
hahahahahah.Ndio maana haukuwa dereva.
Hiyo uki i convert kwa Tshs. inakuwa shilingi ngapi mkuu Daisy Sultan ?Huyo angeshinda 7000k kama mimi angekuwa tahira kabisa
Kilitumbuliwa lakini kimekusanya tena usaha, jioni nitatafuta mtumbajiKidole kimepona au bado jumamos nataka nije Mwanza
Mkeka Mkubwa huyo aliweka timu nyingi sana kama kumi na tano kwenda mbele halafu akawa ameweka pesa ndogo mnohahha, sasa huyo aliyekuwa anasema "alibeti mkeka mkubwa" ndio inakuwaje hapo mkuu.
Hebu nieleweshe
7,000,000Hiyo uki i convert kwa Tshs. inakuwa shilingi ngapi mkuu Daisy Sultan ?