Mvulana huyu kashangaza wengi siku ya jana kisa...


Maskini mtoto angeweza kugongwa hata na gari million moja ikamgharimu maisha yake ambayo yana thamani kuzidi kiasi cha pesa zote zilizopo hapa duniani! Munaona sasa maisha yetu yalivyo magumu halafu watu wamejitoa muhanga kutuondoa kwenye hali kama hii halafu wanatokea watu wa kuwa wanawakwamisha! Mimi kwa kweli mtu yeyote anayefanya tofauti na matakwa ya viongozi wa nchi hii haitatokea siku hata moja huko mbele nikaja kumwelewa. Kwenye zama zile za ubinafsishaji, angalau nasi tulitakiwa sasa tumfanye angalau hata Mzee Mengi kumkaribia Dangote!te!
 
Kwani kupata mil 1.8 lazima uweke timu nyingi?

Kama alibeti ngumu kumeza?

Umejuaje kama mkeka ulikuwa mkubwa?

Unaweza kujifanya unajua kumbe haujui, anayejua ni mshindaji tu.
Upo sahihi kabisa

ila nimezingatia maelezo ya mleta taarifa juu ya huyo mvulana


kama aliweka ngumu kumeza basi narudi pale pale kwenye kiasi cha pesa alichoweka hakizidi 2000/=


Hata kama ni ngumu kumeza odds ya kila game tuseme ni 2.00+ basi game hazipungui 8 kwenda juu
 
Umeongea maneno yenye ujumbe mzito sana mkuu. Ahsante sana
 

Mara nyingi haswa ngumu oddz za kushiba 26.00,33.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…