- Thread starter
- #61
hahahhah,Kwa niaba ya Wazee wenzangu wa kubeti tunampongeza huyo kijana/dogo kwa ushindi murua..
cc: Kichwa Kichafu hahahahahahaah
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hahahhah,Kwa niaba ya Wazee wenzangu wa kubeti tunampongeza huyo kijana/dogo kwa ushindi murua..
heeeeeeeeeeeeeeeeee!!!Dah ntaacha nikioa kwa sasa bado.
Nyingine naweka sie tunaita mtaji,madau yangu ya kuweka ni makubwa.
Nimeshapata nyingi zaidi ya hiyo inazidi mara nyingi
ooh sawa nahuja kumbe jana tulikuwa wote pal kw tukio,Ni typing error mkuu alimaanisha ndefu
Ntatubu mbele ya mola nianze maisha upyaheeeeeeeeeeeeeeeeee!!!
Pamoja sana wanajf.
Jana 21/10/2018 maeneo ya wilaya ya Ilemela - Mwanza, kuna mvulana au niseme dogo mmoja hivi alishangaza wengi, na hata wengine kuishia kucheka (nikiwemo Nahuja mie).
Tulikuta foleni kubwa ya magari eneo ambalo hata siku moja halina historia ya msongamano wa magari. Watu wakawa wanajiuliza kuna nini, wengine wakaenda mbali zaidi na kuhisi labda kuna ajali.
Baada ya kushuka kwenye magari tuone kuna nini huko mbele kinachosababisha foleni ndefu, oooooops! tukamshuhudia dogo anagalagala katikati ya barabara hali ambayo imefanya magari yashindwe kuendelea na safari.
Wengine wakasikika wakisema, "amekuwa kichaa". Lakini cha ajabu kukawa na vijana wengine pembeni mwa barabara ambao ni rika moja na yule aliyekuwa anagalagala barabarani walikuwa wanacheka sana,hadi machozi na makamasi yanawatoka.
Tukawauliza, vipi huyu wenzenu amekuwaje? wakatujibu kuwa, "ALIBET NA AMESHINDA KIASI CHA TSHS.1,850,000/=" Kijana mwingine akaongezea "JAMAA ALIBET MKEKA MKUBWA"...
Mfyuuuuuuu, watu tukafoka foka hapo, basi akanyanyuliwa wakamuweka pembeni mwa barabara magari yakaendelea na safari.
Usikate tamaa endelea kubet mkuuSina hata sh 5 nyekundu.
😀😀😀😀😀😀 au ndio wewe uliyekuwa umetufungia njia. hahahahahaooh sawa nahuja kumbe jana tulikuwa wote pal kw tukio,
Kwani ni chukizo mbele ya Mungu, mtu uki beti?Ntatubu mbele ya mola nianze maisha upya
Upo sahihi kabisaKwani kupata mil 1.8 lazima uweke timu nyingi?
Kama alibeti ngumu kumeza?
Umejuaje kama mkeka ulikuwa mkubwa?
Unaweza kujifanya unajua kumbe haujui, anayejua ni mshindaji tu.
Kweli kabisa na ntakuwa swala tanoKwani ni chukizo mbele ya Mungu, mtu uki beti?
Umeongea maneno yenye ujumbe mzito sana mkuu. Ahsante sanaMaskini mtoto angeweza kugongwa hata na gari million moja ikamgharimu maisha yake ambayo yana thamani kuzidi kiasi cha pesa zote zilizopo hapa duniani! Munaona sasa maisha yetu yalivyo magumu halafu watu wamejitoa muhanga kutuondoa kwenye hali kama hii halafu wanatokea watu wa kuwa wanawakwamisha! Mimi kwa kweli mtu yeyote anayefanya tofauti na matakwa ya viongozi wa nchi hii haitatokea siku hata moja huko mbele nikaja kumwelewa. Kwenye zama zile za ubinafsishaji, angalau nasi tulitakiwa sasa tumfanye angalau hata Mzee Mengi kumkaribia Dangote!te!
I see.Kweli kabisa na ntakuwa swala tano
Wanaume wa mkoani wakashindwa kumchapa makofi dogo kwa kuzuia magari
Upo sahihi kabisa
ila nimezingatia maelezo ya mleta taarifa juu ya huyo mvulana
kama aliweka ngumu kumeza basi narudi pale pale kwenye kiasi cha pesa alichoweka hakizidi 2000/=
Hata kama ni ngumu kumeza odds ya kila game tuseme ni 2.00+ basi game hazipungui 8 kwenda juu
Walimnyanyua wakamuweka pembeni mwa barabara. hahahahaHah hah hah hah hah
Kweli wewe ni mtaalamu!!!😀😀😀Mara nyingi haswa ngumu oddz za kushiba 26.00,33.....
😀😀😀😀Mara nyingi haswa ngumu oddz za kushiba 26.00,33.....
Angeweka na kapichaMi ningekuwa dereva ningemgonga afe ili hela aliyoshinda itumike kwenye mazishi yake maana baadae asisumbue watu
Sikuona hata mtu aliyekuwa na wazo la kumpiga picha kusema kweli!!!Angeweka na kapicha