Umeongea maneno yenye ujumbe mzito sana mkuu. Ahsante sana
Umeongea maneno yenye ujumbe mzito sana mkuu. Ahsante sana
Hata usalama wao ni hatari kwa vibaka, wapambe walitokea ghafla. Kwa hali ilivyo ngumu, watu wenye nia ovu wanaweza kuwavamiaNajua mzazi wa mtoto huyo hiyo hela takauwa ameiona chungu, hata kama siku hiyo alikuwa hana hata hela ya kula chakula cha mchana; kwamba million moja inakuja na balaa la kutaka kupoteza maisha ya mtoto wake!
Najua mzazi wa mtoto huyo hiyo hela atakuwa ameiona chungu, hata kama siku hiyo alikuwa hana hata hela ya kula chakula cha mchana; kwamba million moja inakuja na balaa la kutaka kupoteza maisha ya mtoto wake!
1,850,000/ imemtia wazimu kijana mdogoDuh!
Unaweka jero kwa timu nne mkeka unasoma parefu tuMara nyingi haswa ngumu oddz za kushiba 26.00,33.....
hahahaha, dogo kalipata wazimu. hahahahahahaha. sijui leo kana hali ganiHahaahha
Wazee wa kubet woiii
hahahah, nilicheka sana, maana dogo alidata. halafu mbaya zaidi wapambe wake wakawa wanamwambia, hebu nyanyuka hapo tukusindikize nyumbani kwenu ubadili nguo, twende mjini ukachukue hela yako.hahahahaahah
Hii michezo ni ya ajabu kweli...yaani hamna jema, mtu akishinda anachanganyikiwa the same akiliwa hela...ila huyo "msukuma" huko amezidi aisee๐๐๐๐Mkuu Louis II nimesoma huu uzi wako
Jamaa kaliwa Tshs. 3,000,000 kwenye kamari, yupo hoi kitandani - JamiiForums
Nikakumbuka huyu mtoto alivyotusumbua barabarani baada ya kushida 1,850,000/=
hahahaha huyo mtoto sio msukuma ni Mkurya anaitwa MARWA ahahahaahahahaHii michezo ni ya ajabu kweli...yaani hamna jema, mtu akishinda anachanganyikiwa the same akiliwa hela...ila huyo "msukuma" huko amezidi aisee๐๐๐๐
Muraaa๐๐hahahaha huyo mtoto sio msukuma ni Mkurya anaitwa MARWA ahahahaahahaha