Mvulana huyu kashangaza wengi siku ya jana kisa...

Umeongea maneno yenye ujumbe mzito sana mkuu. Ahsante sana

Najua mzazi wa mtoto huyo hiyo hela takauwa ameiona chungu, hata kama siku hiyo alikuwa hana hata hela ya kula chakula cha mchana; kwamba million moja inakuja na balaa la kutaka kupoteza maisha ya mtoto wake!

Najua mzazi wa mtoto huyo hiyo hela atakuwa ameiona chungu, hata kama siku hiyo alikuwa hana hata hela ya kula chakula cha mchana; kwamba million moja inakuja na balaa la kutaka kupoteza maisha ya mtoto wake!
 
Hata usalama wao ni hatari kwa vibaka, wapambe walitokea ghafla. Kwa hali ilivyo ngumu, watu wenye nia ovu wanaweza kuwavamia
 
hahahah, nilicheka sana, maana dogo alidata. halafu mbaya zaidi wapambe wake wakawa wanamwambia, hebu nyanyuka hapo tukusindikize nyumbani kwenu ubadili nguo, twende mjini ukachukue hela yako.hahahahaahah

Yesu wangu! Na wewe hukuenda kwelii
 
Hii michezo ni ya ajabu kweli...yaani hamna jema, mtu akishinda anachanganyikiwa the same akiliwa hela...ila huyo "msukuma" huko amezidi aisee😂😂😂😂
hahahaha huyo mtoto sio msukuma ni Mkurya anaitwa MARWA ahahahaahahaha
 
Back
Top Bottom