Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,855
- 189,385
Siju hizi tunazitafuta kupata zile kamba kufukuzia ndege mashambani.
R.I.P Legend.
R.I.P Legend.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ila Mizungu inaishi jamani...94[emoji848][emoji848]
Kwa sasa mvumbuzi wa flash ndie anaekula maisha milele
MmmhMwinyi anatoboa 110
Pigo kubwa sana !Habari,
Mvumbuzi wa kanda za kaseti Mholanzi, Lou Ottens amefariki wiki hii akiwa na umri wa miaka 94.
![]()
Mabilioni ya kaseti zimeuzwa duniani tangu zilipobuniwa miaka ya 1960
Mtoto wa kike wa mvumbuzi huyo, Arine Ottens alikiambia chombo cha habari cha WTOP News juu ya kifo hicho ”Tunasikitika sana kukuarifu kuwa Lou amefariki Dunia siku ya Jumamosi Machi 6, 2021.”
Ottens alianza kazi katika kampuni ya electronic ya Royal Philips mwanzo mwa miaka 20. Inakadiriwa kuwa kaseti bilioni 100 zimeuzwa duniani tangu zilipobuniwa miaka ya 1960. Uvumbuzi wa Ottens ulibadilisha jinsi watu walivyo sikiliza muziki, na katika miaka ya hivi karibuni kaseti zimeanza kutumika tena.
Injinia huyo amefariki nyumbani kwake Duizel wikendi iliyopita, familia yake ilitangaza Jumanne Jumanne ya wiki hii.
Ottens alikuwa mkuu wa kitengo cha utengenezaji bidhaa katika shirika la Philips miaka ya 1960, ambapo yeye na timu yake walitengeza kaseti.
Mwaka 1963, iliwasilishwa katika maonyesho ya bidhaa za kielektroniki ya Redio ya Berlin na muda mfupi baadae ikapata umaarufu duniani.
Ottens pia ilihusika katika utengenezaji wa CD, na zaidi ya diski bilioni 200 ziliiuzwa duniani hadi leo.
Wewe hata 50 hutoboiMwinyi anatoboa 110
Kuna mzee yupo mtaa wa Samora kule Posta anauza kaseti mpaka leo hii.R.I.P engineer
Ila kaseti bana zilikuwa na ladha yake hususani kuishi muda mrefu bila kuharibika.
Vifaa vya kidigital ni vizuri ila kudumu sasa ndio tatizo lingine.
Kuna nyimbo za zamani ni ngumu kuzipata kwenye platform nyingine.Kuna mzee yupo mtaa wa Samora kule Posta anauza kaseti mpaka leo hii.
za miziki gani?Kuna mzee yupo mtaa wa Samora kule Posta anauza kaseti mpaka leo hii.
na zinanunuliwa kweli? ila uko town nashangaaga kuna shop niliona wanauza tochi za tiger, pipi za tiffany sijui, duh nikabaki nashangaa, mtu unachukua fremu unauza ivo vitu town?Kuna mzee yupo mtaa wa Samora kule Posta anauza kaseti mpaka leo hii.
🤣🤣🤣Kaondoka wakati mmoja na jiwe
Smvumbuzi wa nyungu bado¿Habari,