pilipili kichaa
JF-Expert Member
- Sep 3, 2013
- 18,406
- 14,643
Hakuna kosa kabisa hapo hata ukichanganya na picha ya hawara wa mkeoNina picha za Lisu na Mbowe hapa ngoja nizichome moto😕😕😕😕
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna kosa kabisa hapo hata ukichanganya na picha ya hawara wa mkeoNina picha za Lisu na Mbowe hapa ngoja nizichome moto😕😕😕😕
Jinga wewemy friend, republic hawajawahi kukosa kosa la kushitaki.
kitu nawashauri vijana, siasa sio fujo, nasema hivi kwasababu huwezi kushindana kwenye fujo na mtu mwenye dola na pesa. ccm wana dola na pesa. wewe huna polisi, huna TISS huna jeshi utashindana nao kwa manguvu? si utaumia tu.
Pili, harakati zenu fanyeni kwa busara, hekima na maarifa. Hoja dhidi ya hoja, acheni matusi. Kijana wetu sativa tunamwonea huruma sana, ni mdogo, hana hata career, anatafutiza tu chumba cha kupanga, ila mdomoni alikuwa na matusi mazito sana sana, hafanani na alivyo. sababu hiyo alijitengenezea maadui wengi, hakwenda kwa hekima na busara, hata Mungu kuamwokoa basi tu kwasababu yeye hana Mungu, ni mtu mwenye mdomo mchafu, tujifunze, na yeye ajifunze, jenga hoja, acha matusi.
someni mazingira, Tanzania sio kenya, na sio marekani ambako uhuru wako wa kujieleza upo asilimia mia. marekani unaweza kuchoma ramani ya nchi, au picha ya rais, hawakufanyi kitu. hapa ukichoma utakamatwa na utafungwa. kwa akili tu, badilisheni tactic za mapambano yenu kulingan ana mazingira. huyo dogo amechoma picha ya rais, kwa bongo icho kitu hakikubaliki.
kenya waliandamana, waliharibu vitu, waliwachezea polisi, walifanya yote wapendavyo, na hawakufanywa kitu sana. Tanzania chezea polisi utajua mwenyewe, ndio maana tunasema cheza mziki kulingana na rythm yake.
chadema acheni matusi, chadema acheni matusi, chadema acheni matusi, nimewataja mara tatu. jengeni hoja, mjibiwe kwa hoja, maguvu hamtaweza kwasababu watanzania ni waoga na pia ninyi hamna dola, mnaumiza vijana wetu bure kwa maslahi ya matumbo yenu.
na yawabasha wako naiweka moto nisawa?Hakuna kosa kabisa hapo hata ukichanganya na picha ya hawara wa mkeo
nilichokuambia ndicho kilichotokea, republic hawajawahi kukosa kosa la kushitaki. sio kwamba nafurahia, hapana, it was very unnecessary kumshitaki yule dogo. vitu vingine ni kuviacha tu, alikuwa ana express his freedom of speech, hajadhuru mtu yeyote, picha tu na hajatukana. what makes you to call me jinga? as a matter of fact.Jinga wewe
Choma jirekodi tutakuchangia utakapojamatwa usiwe na wasiwasi maana ndio akili zenu.Jikite kwenye hoja, Je kuchoma picha ni kosa kisheria?
Halafu huo ujinga wa kuona kila anayepinga serikali katumwa ni dharau sana, yaani unataka kusema Watanzania ni mbumbumbu na kwamba hawawezi kuamua mambo wenyewe na kutafakari hadi watumwe?
Hakika utalipwa kwa dharau zako hizo, Wallah tena!
Una viashiria vya utumwa.my friend, republic hawajawahi kukosa kosa la kushitaki.
kitu nawashauri vijana, siasa sio fujo, nasema hivi kwasababu huwezi kushindana kwenye fujo na mtu mwenye dola na pesa. ccm wana dola na pesa. wewe huna polisi, huna TISS huna jeshi utashindana nao kwa manguvu? si utaumia tu.
Pili, harakati zenu fanyeni kwa busara, hekima na maarifa. Hoja dhidi ya hoja, acheni matusi. Kijana wetu sativa tunamwonea huruma sana, ni mdogo, hana hata career, anatafutiza tu chumba cha kupanga, ila mdomoni alikuwa na matusi mazito sana sana, hafanani na alivyo. sababu hiyo alijitengenezea maadui wengi, hakwenda kwa hekima na busara, hata Mungu kuamwokoa basi tu kwasababu yeye hana Mungu, ni mtu mwenye mdomo mchafu, tujifunze, na yeye ajifunze, jenga hoja, acha matusi.
someni mazingira, Tanzania sio kenya, na sio marekani ambako uhuru wako wa kujieleza upo asilimia mia. marekani unaweza kuchoma ramani ya nchi, au picha ya rais, hawakufanyi kitu. hapa ukichoma utakamatwa na utafungwa. kwa akili tu, badilisheni tactic za mapambano yenu kulingan ana mazingira. huyo dogo amechoma picha ya rais, kwa bongo icho kitu hakikubaliki.
kenya waliandamana, waliharibu vitu, waliwachezea polisi, walifanya yote wapendavyo, na hawakufanywa kitu sana. Tanzania chezea polisi utajua mwenyewe, ndio maana tunasema cheza mziki kulingana na rythm yake.
chadema acheni matusi, chadema acheni matusi, chadema acheni matusi, nimewataja mara tatu. jengeni hoja, mjibiwe kwa hoja, maguvu hamtaweza kwasababu watanzania ni waoga na pia ninyi hamna dola, mnaumiza vijana wetu bure kwa maslahi ya matumbo yenu.
rudia tena kusoma hii comment uliyoandika halafu jitathmini wewe mwenyewe akili yako. Nilikuambia jamhuri hawajawahi kukosa kosa la kushtaki, dogo sasaivi ameshakula mvua na tumemchangia kesho atatoka gerezani. ulifikiri namaanisha nini? nani mtumwa kati yangu mimi na wewe? haya tuambie, jamhuri wamepata kosa la kushtaki au hawajapata?Una viashiria vya utumwa.
Hebu jiaminishe haukuumbwa kwa bahati mbaya.
Jitahid kuelewa na kuheshimu sheria kuliko mtu.
Wewe una udhaifu wa kurithi vile.
Wewe hupaswi kutegemewa kwa lolote.
Wewe unajadili kitu gani?Endeleeni kuwapotosha vijana kutoka familia maskini huku wa kwenu mkiwahimiza kuwa makini na kujiepusha na siasa za kipumbavu. Huwezi kukuta mtoto wa kiongozi wa ngazi za juu CHADEMA anafanya harakati za kipumbavu au kuropoka hovyo. Watoto wa maskini kama kina Mdude ndo hutolewa kafara ili kupata political mileage. Wewe mleta uzi nina uhakika huwezi ruhusu mwanao achukue picha ya Rais na kuichoma huku akirekodi video.
Wa miaka 24 ni mtoto hadi aruhsiwe/akatazwe na wazazi asifanye/afanye jambo!! Kuchoma hua anaomba ruhsa ppte?Endeleeni kuwapotosha vijana kutoka familia maskini huku wa kwenu mkiwahimiza kuwa makini na kujiepusha na siasa za kipumbavu. Huwezi kukuta mtoto wa kiongozi wa ngazi za juu CHADEMA anafanya harakati za kipumbavu au kuropoka hovyo. Watoto wa maskini kama kina Mdude ndo hutolewa kafara ili kupata political mileage. Wewe mleta uzi nina uhakika huwezi ruhusu mwanao achukue picha ya Rais na kuichoma huku akirekodi video.
Kuchoma picha sio siasa za kipumbavu, ila uchawa na nidhamu za woga ndio upumbavu wa hali ya juuEndeleeni kuwapotosha vijana kutoka familia maskini huku wa kwenu mkiwahimiza kuwa makini na kujiepusha na siasa za kipumbavu. Huwezi kukuta mtoto wa kiongozi wa ngazi za juu CHADEMA anafanya harakati za kipumbavu au kuropoka hovyo. Watoto wa maskini kama kina Mdude ndo hutolewa kafara ili kupata political mileage. Wewe mleta uzi nina uhakika huwezi ruhusu mwanao achukue picha ya Rais na kuichoma huku akirekodi video.
Choma na wewe huku ukirekodi video kisha sikilizia kifuatacho.Kuchoma picha sio siasa za kipumbavu, ila uchawa na nidhamu za woga ndio upumbavu wa hali ya juu
Choma na wewe. Acha ushujaa wa kipumbavuWa miaka 24 ni mtoto hadi aruhsiwe/akatazwe na wazazi asifanye/afanye jambo!! Kuchoma hua anaomba ruhsa ppte?
Kuna faida gani aliyopata kwa kuchoma hiyo picha zaidi ya kujitia doa la maisha kwa kuhukumiwa kwa kosa la jinai?Huyo uliyemwona (Shadrack Chaula) ndiye mwanafamilia yangu...!
Una swali au hoja nyingine?
Wamekata rufaa na hiyo hukumu itafutwa kwa sababu hakuna kosa pale...Kuna faida gani aliyopata kwa kuchoma hiyo picha zaidi ya kujitia doa la maisha kwa kuhukumiwa kwa kosa la jinai?
Samahan naomba nijifunze kupitia wewe embu chambua hizo penal code kulingana na kosa la kijana acha kuzungumzia urefu wake we cheza na kinachohusiana na kesi ya kijana humo tu, asante.penal code ni kubwa sana ndugu yangu. kwa tuliokaa mahakamani mda mrefu, kosa lipo.
wamemshitaki kwa cyber ndugu. achana na penal code. lakini whatever the case, jamhuri huwa hawakosi cha kushitaki mtu hata kama sicho halisi, huwa wanaamini atatokea kwenye appeal ila lengo la kukufikisha mahakamani wameshatimiza. thats what I meant.Samaha
Samahan naomba nijifunze kupitia wewe embu chambua hizo penal code kulingana na kosa la kijana acha kuzungumzia urefu wake we cheza na kinachohusiana na kesi ya kijana humo tu, asante.
Mjinga wewe, hujui usemalo...!!!Kuna faida gani aliyopata kwa kuchoma hiyo picha zaidi ya kujitia doa la maisha kwa kuhukumiwa kwa kosa la jinai?
Duh! Chawa kachafukwa. Humu ndani ni wewe tu uliyetendewa kosa, una hasira ya kuua mtu! PoleChoma na wewe. Acha ushujaa wa kipumbavu