Zimmermann
JF-Expert Member
- Sep 28, 2010
- 3,506
- 2,606
Atatoka soonPlay stupid games win stupid prizes. Acha akanyee debe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Atatoka soonPlay stupid games win stupid prizes. Acha akanyee debe
Kauze wazi wazi dubur yako, si umezaliwa nayo, utanielewa.Imeandikwa wapi? Kijana anakatiwa rufaa na akitoka itafanyika tafrija ya kuchoma picha za wanafumbia macho utekwaji na utesani wa watanzania...unaalikwa kushuhudia tukio hilo
habambikiwi chochote, huyo anapelekwa mirembe tu, si mwehu?Hawatashindwa kumbambikia kesi yeyote mbaya huyo kijana
Soma hiyo...Kauze wazi wazi dubur yako, si umezaliwa nayo, utanielewa.
Kwahiyo mirembe ndio inaanzia kituo cha police siyohabambikiwi chochote, huyo anapelekwa mirembe tu, si mwehu?
Mirembe wapi? Atatoka soon kwenda kula maparachichi...this time mtavalishwa ngozi za mamba kwa lazima...mama anatetewa kama Dini bhana....habambikiwi chochote, huyo anapelekwa mirembe tu, si mwehu?
Atatoka soon
Hiyo anachangiwa tu rufaa ikishindikanaAkitoka anendelee kucheza stupid games aendelee kushinda stupid prizes. Mtu hana hata 5M ya bond bado anajidai mjuaji
Kafugwa miaka miwili kashidwa kulipa faini ya Tshs 5000000Ngoja tuone itakuwaje
Kuhusu kenya usiseme hawakufanywa kitu...hivi unajuwa ukiwafanyia wakenya na wao wanawafanyia nini 😄my friend, republic hawajawahi kukosa kosa la kushitaki.
kitu nawashauri vijana, siasa sio fujo, nasema hivi kwasababu huwezi kushindana kwenye fujo na mtu mwenye dola na pesa. ccm wana dola na pesa. wewe huna polisi, huna TISS huna jeshi utashindana nao kwa manguvu? si utaumia tu.
Pili, harakati zenu fanyeni kwa busara, hekima na maarifa. Hoja dhidi ya hoja, acheni matusi. Kijana wetu sativa tunamwonea huruma sana, ni mdogo, hana hata career, anatafutiza tu chumba cha kupanga, ila mdomoni alikuwa na matusi mazito sana sana, hafanani na alivyo. sababu hiyo alijitengenezea maadui wengi, hakwenda kwa hekima na busara, hata Mungu kuamwokoa basi tu kwasababu yeye hana Mungu, ni mtu mwenye mdomo mchafu, tujifunze, na yeye ajifunze, jenga hoja, acha matusi.
someni mazingira, Tanzania sio kenya, na sio marekani ambako uhuru wako wa kujieleza upo asilimia mia. marekani unaweza kuchoma ramani ya nchi, au picha ya rais, hawakufanyi kitu. hapa ukichoma utakamatwa na utafungwa. kwa akili tu, badilisheni tactic za mapambano yenu kulingan ana mazingira. huyo dogo amechoma picha ya rais, kwa bongo icho kitu hakikubaliki.
kenya waliandamana, waliharibu vitu, waliwachezea polisi, walifanya yote wapendavyo, na hawakufanywa kitu sana. Tanzania chezea polisi utajua mwenyewe, ndio maana tunasema cheza mziki kulingana na rythm yake.
chadema acheni matusi, chadema acheni matusi, chadema acheni matusi, nimewataja mara tatu. jengeni hoja, mjibiwe kwa hoja, maguvu hamtaweza kwasababu watanzania ni waoga na pia ninyi hamna dola, mnaumiza vijana wetu bure kwa maslahi ya matumbo yenu.
Mshamfanya mtaji kama matibabu na gari la lussu?Hiyo anachangiwa tu rufaa ikishindikana
Hiyo anachangiwa tu rufaa ikishindikana
I hope umeielewa hukumu ya kijana mchoma picha....mambo ya treason peleka kwenye vijiwe vya kahawaMshamfanya mtaji kama matibabu na gari la lussu?
Bora nyumbu zinazochangia watu wanaohukumiwa kwa mihemuko ya kisiasa kuliko nyinyi mnaoshabikia unyani unaoendelea nchiniNasema akichangiwa achome tena maana zipo nyumbu zitazomchangia tena.
Picha mali?Kwenye penal code kuna kosa linaitwa ARSON i.e kuchoma Mali moto, swali ni vitu vinavyoitwa Mali ni vipi?
nilikwambia kosa lipo, bahati mbaya kijana tayari yupo gerezani, it was very unnecessary to arraign him in the world of freedom of speech. walitakiwa waignore tu na waone alikuwa ana express his feelings. picha tu,too bad.Taja hilo kosa na utaje vifungu vya sheria na sie tuhakiki hapa.