Mvutano wa kisheria, tuhuma ya msanii aliyechoma picha ya Rais

Jinga wewe
 
NEMC huchoma vipodozi feki na mazagazaga kibao zikiwemo picha za viongozi, Je nao pia wakamatwe na kupelekwa mahakamani?
 
Jinga wewe
nilichokuambia ndicho kilichotokea, republic hawajawahi kukosa kosa la kushitaki. sio kwamba nafurahia, hapana, it was very unnecessary kumshitaki yule dogo. vitu vingine ni kuviacha tu, alikuwa ana express his freedom of speech, hajadhuru mtu yeyote, picha tu na hajatukana. what makes you to call me jinga? as a matter of fact.
 
Kosa siyo kuchoma picha, ni MANENO aliyotamka wakati akichoma picha, ndiyo waliyomshitaki nayo.
 
Choma jirekodi tutakuchangia utakapojamatwa usiwe na wasiwasi maana ndio akili zenu.
 
Una viashiria vya utumwa.
Hebu jiaminishe haukuumbwa kwa bahati mbaya.
Jitahid kuelewa na kuheshimu sheria kuliko mtu.
Wewe una udhaifu wa kurithi vile.
Wewe hupaswi kutegemewa kwa lolote.
 
Una viashiria vya utumwa.
Hebu jiaminishe haukuumbwa kwa bahati mbaya.
Jitahid kuelewa na kuheshimu sheria kuliko mtu.
Wewe una udhaifu wa kurithi vile.
Wewe hupaswi kutegemewa kwa lolote.
rudia tena kusoma hii comment uliyoandika halafu jitathmini wewe mwenyewe akili yako. Nilikuambia jamhuri hawajawahi kukosa kosa la kushtaki, dogo sasaivi ameshakula mvua na tumemchangia kesho atatoka gerezani. ulifikiri namaanisha nini? nani mtumwa kati yangu mimi na wewe? haya tuambie, jamhuri wamepata kosa la kushtaki au hawajapata?
 
Wewe unajadili kitu gani?

Ishu inayojadiliwa hapa ni kuwa, kuchoma moto picha ya mtu yeyote si kosa kisheria. Kama wewe unafikiri ni kosa, tuthibitishie kwa ushahidi wa kisheria..

Ishu ya umasikini wa watu na wao ku - exercise haki zao za kikatiba na za kiraia/kijamii na serikali kuwaonea na kuwasingizia makosa yasiyokuwepo kisheria kwa sababu hawampendi kiongozi fulani i .e Rais au yeyote ni ujinga na upumbavu. Na wewe mwenye mawazo haya, nawe ni walewale...!!

Hiyo picha huyo Mama Samia alimpa bure huyo kijana? Si kama ni kununua basi alinunua kwa pesa zake mwenyewe, akaiweka ndani mwake...

Kama ilifika wakati akaona haina maana tena kwake, haimfai tena na kuamua mwenyewe kuiharibu kwa namna yoyote iwe ni kwa kuichoma moto, kuiloanisha na maji, kuitumbukiza chooni iwe ni waziwazi au kwa siri, iweje iwe ni kosa maana hiyo ni mali yake?

Hawa viongozi wa CCM na serikali yao wanasumbuliwa na tatizo kubwa linaloitwa kwa kiingereza kama "FEAR OF REJECTION"

Wanadhani wakitumia mbinu ya kutisha watu na kuwaonea ili waogope, basi wanaamini shida yao ya kukataliwa na wananchi itaondoka...

Ni wajinga hawa, wanajidanganya...!!
 
Wa miaka 24 ni mtoto hadi aruhsiwe/akatazwe na wazazi asifanye/afanye jambo!! Kuchoma hua anaomba ruhsa ppte?
 
Kuchoma picha sio siasa za kipumbavu, ila uchawa na nidhamu za woga ndio upumbavu wa hali ya juu
 
Huyo uliyemwona (Shadrack Chaula) ndiye mwanafamilia yangu...!

Una swali au hoja nyingine?
Kuna faida gani aliyopata kwa kuchoma hiyo picha zaidi ya kujitia doa la maisha kwa kuhukumiwa kwa kosa la jinai?
 
Samaha
penal code ni kubwa sana ndugu yangu. kwa tuliokaa mahakamani mda mrefu, kosa lipo.
Samahan naomba nijifunze kupitia wewe embu chambua hizo penal code kulingana na kosa la kijana acha kuzungumzia urefu wake we cheza na kinachohusiana na kesi ya kijana humo tu, asante.
 
Samaha

Samahan naomba nijifunze kupitia wewe embu chambua hizo penal code kulingana na kosa la kijana acha kuzungumzia urefu wake we cheza na kinachohusiana na kesi ya kijana humo tu, asante.
wamemshitaki kwa cyber ndugu. achana na penal code. lakini whatever the case, jamhuri huwa hawakosi cha kushitaki mtu hata kama sicho halisi, huwa wanaamini atatokea kwenye appeal ila lengo la kukufikisha mahakamani wameshatimiza. thats what I meant.
 
Kuna faida gani aliyopata kwa kuchoma hiyo picha zaidi ya kujitia doa la maisha kwa kuhukumiwa kwa kosa la jinai?
Mjinga wewe, hujui usemalo...!!!

Kama hilo ni doa basi kina Julius K. Nyerere, Nelson Mandela wa SA waliohukumiwa makosa ya jinai na wakoloni waonevu wana madoa makubwa na yenye faida sana...

Yesu Kristo alihukumiwa kwa kosa la jinai la luonevu na isivyo haki eti kwa kujitangaza Mfalme wa Wayahudi. Na adhabu yake ikawa ni kufa kwa kusulubiwa mchana kweupe msalabani ktk mlima Golgotha...

Kama ni ishu ya madoa basi hayo ni madoa mazuri kabisa kwa ajili ya ukombozi na wokovu wa wengi...!

Nakuambia haya kwa kukushangaa wewe kudhani kuwa Chaula alihukumiwa kwa haki wakati ni uonevu wa wazi lengo likiwa ni ku - intimidate/kutisha watu tu...

Hii ndiyo athari za watawala wanaosumbuliwa na FEAR OF REJECTION na madhara yake ni hayo watawala kuanza kuua, kuonea, kuteka na kupoteza wakosoaji wao...!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…