Mvutano wa Kisheria Waanza Kesi ya Boniface Jacob, Andiko Kuhusu Mafwele Lawekwa Kwenye Hati ya Mashtaka

Manyanza

JF-Expert Member
Joined
Nov 4, 2010
Posts
16,464
Reaction score
35,629
Boniface Jacob ameweza kufikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu leo Septemba 19,2024,toka akamatwe hapo jana katika mgahawa wa Golden Fork, Sinza.

Hati ya Mashtaka ya kesi inayomkabili Boniface Jacob inaeleza kuwa anatuhumiwa kwa kuchapisha taarifa za uongo kinyume na Sheria ya Makosa ya Mtandao ya mwaka 2015, kifungu cha 16.

Katika shitaka la kwanza linaeleza kuwa Boniface Jacob mnamo Septemba 12, 2024, akiwa Dar es Salaam alichapisha taarifa za uongo zikieleza kuwa: "...Mafwele anatuhumiwa na familia nyingi kama mtu ambaye ameshiriki mauaji kwa moja katika kuwapoteza ndugu wa baadhi ya familia zao; kupotea kwa Mfanyabiashara Mussa mziba, Kupotea kwa Deo Mugasa, Kupotea kwa Adinani Hussein Mbezi, Kupotea kwa vijana watano wa Aggrey.." katika mtandao wa X (zamani uliojulikana kama X0 akitumia jina la Boniface Jacob@ExmayorUbungo akikusudia kuudanganya umma.

Na shitaka la pili pia linahusu kuchapisha taarifa za uongo kinyume ambapo linaeleza: Boniface Jacob mnamo Septemba 14,2024, alichapisha taarifa za uongo zilizosema;"....Mkawasifia maRCO wanaouzuia uhalifu kwa kutenda uhalifu,...Bali Ma RCO waliojua kuteka, kukamata, kupiga watuhumiwa risasi, kuwafunga tape, kuwafunga mifuko ya nailoni usoni na kisha kutupa miili ya watuhumiwa ndiyo wanaojua kazi ya upolisi..." katika mtandao wa X (zamani uliojulikana kama Twitter) akitumia jina la Boniface Jacob@ExmayorUbungo akikusudia kuudanganya umma.

Jacob aliyakana mashtaka yote mawili katika kesi hiyo anayowakilishwa na Mawakili watatu akiwemo Peter Kibatala na Hekima Mwasipu.

"Upande wa mashtaka umeleta maombi wanataka Mahakama imuamuru Boni awape maafisa wa polisi wapelelezi, wachunguzi uwezo wa kuingia kwenye simu yake na mtandao wa X. Kwa hiyo tumepinga vikali maombi hayo tumesema hayana sababu , wala msingi wowote kisheria," alieleza Wakili Kibatala akizungumzia mwenendo wa kesi hiyo.

Upande wa mashtaka pia umeiomba Mahakama isimpe Boniface Jacob dhamana kwa kueleza kuwa usalama wake upo hatarini. Jambo ambalo mawakili wake wameeleza halina msingi wowote wa kisheria.

Maamuzi kuhusu dhamana ya Boniface Jacob yanategemewa kutolewa mnamo Septemba 23, 2024, saa tano asubuhi.

View: https://youtu.be/OJBOxYR_98Y?si=LwP_XXF_niPDsoaD
 
Nilisema kwenye ile kesi yake nyingine akiwa na Malisa, pia nasema tena kwenye hii pia. Kesi za mambo ya kwenye tovuti za kijamii isiyo ya kikoa cha Bongo (.tz), Polisi haitakaa itoboe.

Mwishowe wataikimbia tu kesi kama wanavyoikimbia ile nyingine. Twitter wanatoaje ushahidi utakaotosha kumfunga Boniyai? Ndiyo maana walijaribu kupora password yake.

Kwa kuwa uporaji wa password haukufanikiwa, na kumfunga pia hakutafanikiwa kamwe hadi na hii kesi waikimbie pia. Ni kupoteza muda na pesa tu za umma.

Maneno ya mitandaoni hujibiwa kwa utendaji tu uliotukuka na sio kesi za namna hii za kushindwa kabla hata haijaanza. Ni laana kutumia mgogo wa siasa kuficha uzembe wa polisi kiutendaji.

Ova
 
Hoja ya kwanza: Mafwele ndo kashitaki au jamhuri inashitaki Kwa niaba ya Mafwele!?

Mafwele hatuhumiki? Mafwele ni chombo Gani katika nchi?
 
Nilisema kwenye ile kesi yake nyingine akiwa na Malisa, pia nasema tena kwenye hii pia. Kesi za mambo ya kwenye tovuti za kijamii isiyo ya kikoa cha Bongo (.tz), Polisi haitakaa itoboe.

Mwishowe wataikimbia tu kesi kama wanavyoikimbia ile nyingine. Twitter wanatoaje ushahidi utakaotosha kumfunga Boniyai? Ndiyo maana walijaribu kupora password yake.

Kwa kuwa uporaji wa password haukufanikiwa, na kumfunga pia hakutafanikiwa kamwe hadi na hii kesi waikimbie pia. Ni kupoteza muda na pesa tu za umma.

Maneno ya mitandaoni hujibiwa kwa utendaji tu uliotukuka na sio kesi za namna hii za kushindwa kabla hata haijaanza. Ni laana kutumia mgogo wa siasa kuficha uzembe wa polisi kiutendaji.

Ova
Halafu pia, mbona imekaa kama ya kimadai, au sijaelewa vizuri?
 
Uovu mkubwa wa CCM na wanaowasaidia ndio unaosababisha polisi waache jukumu lao la kikatiba la kulinda wetu na mali zao.

Miaka ya SABINI WATU WALIKUA WANAANDIKA BARUA KWA MIANDIKO FEKI ZENYE MALALAMIKO NA KUZIWEKA Kwenye masanduku ya maoni. Waliwataja wazi wazi watu kwa majina .

Maana ya kumtaja mtu ni ili achunguzwe . Kama wanamtaka mtu kwa rushwa basi anachunguzwa .

Samia alipaswa kuunda tume ichunguze mauaji na utekeji kwa kipindi chote tangu miaka ya 2011 iliyoleta sintofahamu kisha aweke maridhiano baada ya kujua ukweli na wahusika waondolewe kwenye nafasi zao na kufikishwa mahakamani .
Kushindwa kufanya hivyo kutawapa wakati mgumu sana watenda waadilifu ndani ya serikali na Jeshi la polisi .

Oparation kimbunga ilifanyika vibaya kwa wahamiaji haramu kwa kutesa wetu na kuchukua mali zao lakini Spika wa Bunge wakati huo aliyekufa kifo cha kutatanisha baada ya kuwa tishio kwa CCM na serikali Spika SSita (RIP) Aliunda tume kuchunguza . Wahusika waliondolewaa madarakani na wengine kwa kujiuzulu nafasi zao.

Hivi kweli kupinga mauaji ni chokochoko ?

Eti kifo ni kifo tu.
Wataalamu wa IT watutengenezee ile Clip ili isiwe ni kumbukumbu ya milele ya kifo ni kifo tu hakuna haja ya kulia lia . Na pia hotuba yake itafsiriwe kwa lugha ya kilatino ,kifaransa ,kiingereza na kijerumani au Kidachi .
Dunia imuone dikteta aliyeingia madarakani kidemokrasia
 
Back
Top Bottom